Mtuhumiwa wa Ufisadi Amshukuru Magufuli Kwa Wema, Huruma na Msamaha Kwake, Kuchonga Sanamu Ya Magufuli, Kuiweka Sebuleni Kwake, Kumshukuru Kila Siku!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,498
113,597
" Siku ya kuachiwa, kwanza nitamshukuru Mungu, kisha nitamuombea sana kwa Mungu rais Magufuli".

Ingekuwa Ikulu unajiendea tuu kama unavyokwenda dukani, siku yangu ya kuachiwa ningetamani, nikitoka juu jela, nianzie Ikulu kumshukuru kwanza rais Magufuli, ndipo nikajumuike na familia yangu, kiukweli baada ya Mungu, malaika na mitume na manabii wake, then anafuata rais Magufuli.

Na ili kumshukuru rais Magufuli kwa wema na huruma yake, nimeamua kumuenzi, kwa kumchongea sanamu, itakaa sebuleni kwangu, mara baada ya mlango mkubwa wa kuingia ndani, kila asubuhi, nitakuwa namwamkia na kusema asante Magufuli, kila nikitoka, nikirudi ni kumwambia Magufuli, asante".

Wanabodi,
This might look like a joke, lakini huu ni ukweli mtupu na maneno haya sio ya kuhadithiwa, ni maneno ambayo nimeyasikia
mwenyewe kwa masikio yangu.

Hii ni kauli ya mtuhumiwa mmoja wa ufisadi akizungumza na jamaa zake mahakama fulani baada ya kuandika barua kukiri, makosa, akakubali kulipa, kwa kukubaliana kiwango na DPP, leo amekamilisha taratibu hivyo if all goes well, kesho mtuhumiwa huyo ataachiliwa kwa msamaha wa rais Magufuli na atakuwa huru.

Naomba nisimtaje huyo mtuhumiwa, nisiitaje kesi yake, wala nisitaje ni mahakama gani, kwasababu nime overheard tuu sikuelezwa mimi, wala mhusika hanijui wala hajui mimi ni mwandishi, wala hajui kama alichozungumza kitaandikwa.

I can't guarantee if he meant it or he was joking lakini mimi kama mwandishi nimewaletea kitu cha kweli nilichosikia, na kwa vile mimi pia ni mwandishi wa habari Mzalendo nina wajibu kwa jamii, kwa taifa langu na viongozi wake, hivyo ukisikia jambo lolote linaloweza kuleta hatari yoyote kwa jamii, taifa au viongozi, unawajibu wa kuliripoti kunakohisika ili lizuiliwe. Mimi ningekuwa ni wale "jamaa" ningeripoti ofisini. Huwezi ku overheads mtu anazungumza tuu na ndugu zake, kuchonga sanamu ya Magufuli, ukaenda kumripoti polisi, hivyo this is the right place, the right thing.

Kwa vile pia kuna dini zinazoabudu masanamu, kitendo cha mtu kumshukuru rais Magufuli hadi kufikia kiwango cha kumchongea sanamu, na ikitokea mchonga sanamu huyo ni ile jamii ya waabudu masanamu, then huko ni sawa na kumuabudu, hivyo ndani ya nyumba hiyo usikute kwenye sanamu hiyo, itakuwa inavishwa maua perhaps with some offering of some sort, kwa dini za wa waabudu sanamu kuchonga sanamu ya kiongozi yoyote wa jamii yao na kumwabudu ni right yao, lakini sio sawa kuchonga sanamu ya rais wa JMT na kuiabudu, kama huyo rais sio wa jamii yao!.
Kuhusu rais Magufuli kuabudiwa pia nimewahi kulisema humu
Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio Mungu! Na Kwenye Utawala ni Katiba!
na hapa

Hoja ya mtuhumiwa huyu, ikiwa ni kweli hatimaye atachonga sanamu ya Magufuli na kuiabudu au hata kuchukua tuu picha yake na kuiabudu, hii itakuwa ni ibada ya masanamu, idolatry, kwasababu rais Magufuli ni Mkristo anamuamini Mungu aliye juu, mtu yoyote kuchonga sanamu ya Magufuli na kuiabudu, au hata kumwabudu binadamu yoyote, ni machukizo kwa Mungu aliye juu, hivyo unaweza kufanya jambo dogo zuri la kumshukuru rais Magufuli kwa wema wake, ukajikuta matokeo ya hilo jambo lako likamponza mshukuriwa bila wewe kujijua, maana Mungu akigundua binadamu fulani, anaabudiwa, Mungu anaweza kufanya yake, mkajikuta mnamponza mtu wenu!.

Pia taarifa hii kwako wewe mwana jf, inakupa ile jf advantage, be the first to know kuwa mtuhumiwa mmoja mkubwa wa ufisadi wa moja ya kesi kubwa za ufisadi, amekiri kufanya uhalifu wa kifisadi, amelipa fedha alizo fisidi, na kesho ataachiliwa huru baada ya kesi yake kufutwa rasmi leo.

Mimi naendelea na zile hoja zangu 4 kuhusu misamaha hii ya wahalifu wenye fedha, kutumia fedha zao, kununua uhuru wao, wakati masikini mwizi wa kuku, kutokana na umasikini wake, aliiba kuku ili tuu kuweza kupata kitoweo, huyu anaendelea kuozea jela, wakati ndugu zake sio tuu wangeweza kumrejeshea kuku wake yule aliyeibiwa na hata kurejesha kuku wawili ili kuku mwingine awe ni kama fidia. Hili halifanyiki!. Mhalifu Fisadi mwenye fedha zake akilipa, yuko huru, lakini masikini mwizi wa kuku ni kuozea Segerea!.

1. Rais Magufuli atabarikiwa sana na Tanzania itabarikiwa

2. Uhuru wa mtu usifanywe for sale na haki is not for sale kwa wenye fedha tuu, wakiwemo mafisadi kuinunua haki kwa kuilipia kwa fedha huku mwizi wa kuku akiozea jela.
3. Rais Magufuli alitoa msamaha wa kweli kwa anayekiri na kutubu na kukubali kurudisha kile alichofisidi, kuhujumu na akiisha kiri, hapaswi tena kuhukumiwa kama mhalifu

4. Waliobambikiwa, na kesi za muda mrefu uchunguzi ukiendelea ambapo serikali imeshindwa kupata ushahidi, waachiwe huru kwa kesi zao kufutwa na DPP kwa kutumia powers zake za Nolle.

Kiukweli, kwa misamaha hii, rais Magufuli atabarikiwa sana na Taifa la Tanzania, litabarikiwa.

Wasalaam
Paskali just back from
S.A.
 
" Siku ya kuachiwa, kwanza nitamshukuru Mungu, kisha nitamuombea sana kwa Mungu rais Magufuli".

Ingekuwa Ikulu unajiendea tuu kama unavyokwenda dukani, siku yangu ya kuachiwa ningetamani, nikitoka juu jela, nianzie Ikulu kumshukuru kwanza rais Magufuli, ndipo nikajumuike na familia yangu, kiukweli baada ya Mungu, malaika na mitume na manabii wake, then anafuata rais Magufuli.

Na ili kumshukuru rais Magufuli kwa wema na huruma yake, nimeamua kumuenzi, kwa kumchongea sanamu, itakaa sebuleni kwangu, mara baada ya mlango mkubwa wa kuingia ndani, kila asubuhi, nitakuwa namwamkia na kusema asante Magufuli, kila nikitoka, nikirudi ni kumwambia Magufuli, asante".

Wanabodi,
This might look like a joke, lakini huu ni ukweli mtupu na maneno haya sio ya kuhadithiwa, ni maneno ambayo nimeyasikia
mwenyewe kwa masikio yangu.

Hii ni kauli ya mtuhumiwa mmoja wa ufisadi akizungumza na jamaa zake mahakama fulani baada ya kuandika barua kukiri, makosa, akakubali kulipa, kwa kukubaliana kiwango na DPP, leo amekamilisha taratibu hivyo if all goes well, kesho mtuhumiwa huyo ataachiliwa kwa msamaha wa rais Magufuli na atakuwa huru.

Naomba nisimtaje huyo mtuhumiwa, nisiitaje kesi yake, wala nisitaje ni mahakama gani, kwasababu nime overheard tuu sikuelezwa mimi, wala mhusika hanijui wala hajui mimi ni mwandishi, wala hajui kama alichozungumza kitaandikwa.

I can't guarantee if he meant it or he was joking lakini mimi kama mwandishi nimewaletea kitu cha kweli nilichosikia.

Kwa vile pia kuna dini zinazoabudu masanamu, kitendo cha mtu kumshukuru rais Magufuli hadi kumchongea sanamu, na ilitokea mchonga sanamu huyo ni ile jamii ya waabudu masanamu, then huko ni sawa na kumuabudu, hivyo ndani ya nyumba hiyo usikute kwenye sanamu hiyo, itakuwa inavishwa maua perhaps with some offering of some sort.

Pia taarifa hii kwako wewe mwana jf, inakupa ile jf advantage, be the first to know kuwa mtuhumiwa mmoja mkubwa wa ufisadi wa moja ya kesi kubwa za ufisadi, amekiri, amelipa na kesho ataachiliwa na kufutwa kwa kesi yake.

Mimi naendelea na zile hoja zangu tatu kuhusu misamaha hii.

1. Rais Magufuli atabarikiwa sana.
2. Uhuru wa mtu usifanywe for sale na haki is not for sale kwa wenye fedha tuu, wakiwemo mafisadi kuinunua haki kwa kuilipia kwa fedha huku mwizi wa kuku akiozea jela.
3. Waliobambikiwa, na kesi za muda mrefu uchunguzi ukiendelea ambapo serikali imeshindwa kupata ushahidi, waachiwe huru kwa kesi zao kufutwa na DPP kwa kutumia powers zake za Nolle.

Wasalaam
Paskali just back from
S.A.
Ben Saanane yuko wapi?
 
Poleni sana wezi wa kuku huko mliko! Naamini nanyi mngepewa fursa mrudishe kuku mlioiba hivi sasa wote ingekuwa mnatarajia kurudi kitaa! Lakini ni nani anawataka watu kama nyie maskini wachafu wachafu! Hata wote mlioiba kuku mkipanga mrudishe mara 5 ya kuku mlioiba bado thamani yake haitatosha kununua kura hata za kumwingiza mbunge mmoja wa CCM Bungeni! Kwahiyo samahanini sana, endeleeni kupiga gogo kwenye mtondoo; Mheshimiwa Rais anawahitaji wezi wa kishua tu na sio nyie vimaskini mnaoiba kuganga njaa!
 
" Siku ya kuachiwa, kwanza nitamshukuru Mungu, kisha nitamuombea sana kwa Mungu rais Magufuli".

Ingekuwa Ikulu unajiendea tuu kama unavyokwenda dukani, siku yangu ya kuachiwa ningetamani, nikitoka juu jela, nianzie Ikulu kumshukuru kwanza rais Magufuli, ndipo nikajumuike na familia yangu, kiukweli baada ya Mungu, malaika na mitume na manabii wake, then anafuata rais Magufuli.

Na ili kumshukuru rais Magufuli kwa wema na huruma yake, nimeamua kumuenzi, kwa kumchongea sanamu, itakaa sebuleni kwangu, mara baada ya mlango mkubwa wa kuingia ndani, kila asubuhi, nitakuwa namwamkia na kusema asante Magufuli, kila nikitoka, nikirudi ni kumwambia Magufuli, asante".

Wanabodi,
This might look like a joke, lakini huu ni ukweli mtupu na maneno haya sio ya kuhadithiwa, ni maneno ambayo nimeyasikia
mwenyewe kwa masikio yangu.

Hii ni kauli ya mtuhumiwa mmoja wa ufisadi akizungumza na jamaa zake mahakama fulani baada ya kuandika barua kukiri, makosa, akakubali kulipa, kwa kukubaliana kiwango na DPP, leo amekamilisha taratibu hivyo if all goes well, kesho mtuhumiwa huyo ataachiliwa kwa msamaha wa rais Magufuli na atakuwa huru.

Naomba nisimtaje huyo mtuhumiwa, nisiitaje kesi yake, wala nisitaje ni mahakama gani, kwasababu nime overheard tuu sikuelezwa mimi, wala mhusika hanijui wala hajui mimi ni mwandishi, wala hajui kama alichozungumza kitaandikwa.

I can't guarantee if he meant it or he was joking lakini mimi kama mwandishi nimewaletea kitu cha kweli nilichosikia.

Kwa vile pia kuna dini zinazoabudu masanamu, kitendo cha mtu kumshukuru rais Magufuli hadi kumchongea sanamu, na ilitokea mchonga sanamu huyo ni ile jamii ya waabudu masanamu, then huko ni sawa na kumuabudu, hivyo ndani ya nyumba hiyo usikute kwenye sanamu hiyo, itakuwa inavishwa maua perhaps with some offering of some sort.

Pia taarifa hii kwako wewe mwana jf, inakupa ile jf advantage, be the first to know kuwa mtuhumiwa mmoja mkubwa wa ufisadi wa moja ya kesi kubwa za ufisadi, amekiri, amelipa na kesho ataachiliwa na kufutwa kwa kesi yake.

Mimi naendelea na zile hoja zangu tatu kuhusu misamaha hii.

1. Rais Magufuli atabarikiwa sana.
2. Uhuru wa mtu usifanywe for sale na haki is not for sale kwa wenye fedha tuu, wakiwemo mafisadi kuinunua haki kwa kuilipia kwa fedha huku mwizi wa kuku akiozea jela.
3. Waliobambikiwa, na kesi za muda mrefu uchunguzi ukiendelea ambapo serikali imeshindwa kupata ushahidi, waachiwe huru kwa kesi zao kufutwa na DPP kwa kutumia powers zake za Nolle.

Wasalaam
Paskali just back from
S.A.
Chini umemaliza vzuri sna kaka nina jamaa ndugu marafiki na wapo gerezani zaidi miaka 8 ushahidi bado kila siku nafikiria Mh Rais awafikirie pia kila kheri hakika kwa ili anaitaji Pongezi Kubwa sna Anko Magu...
 
Mkuu unasaka uteuzi kwa nguvu mpk unadhalilisha taaluma yako. Mayalla =Njaa
 
Mimi naendelea na zile hoja zangu 4 kuhusu misamaha hii.

1. Rais Magufuli atabarikiwa sana na Tanzania itabarikiwa

2. Uhuru wa mtu usifanywe for sale na haki is not for sale kwa wenye fedha tuu, wakiwemo mafisadi kuinunua haki kwa kuilipia kwa fedha huku mwizi wa kuku akiozea jela.
3. Rais Magufuli alitoa msamaha wa kweli kwa anayekiri na kutubu na kukubali kurudisha kile alichofisidi, kuhujumu na akiisha kiri, hapaswi tena kuhukumiwa kama mhalifu

4. Waliobambikiwa, na kesi za muda mrefu uchunguzi ukiendelea ambapo serikali imeshindwa kupata ushahidi, waachiwe huru kwa kesi zao kufutwa na DPP kwa kutumia powers zake za Nolle.

Wasalaam
Paskali just back from
S.A.
Umerudi na akina Rostam Aziz huko SA?!
 
Back
Top Bottom