Watanzania na unafiki wenye tija, sasa ni muda wa kumpamba Mama yetu Rais Samia Suluhu

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
14,501
27,000
Ndugu zangu!

Ni kawaida kwa kila kiongozi akishika hatamu kujifanyia namna yako ya uongozi/utawala, huku akizingatia mwongozo wa katiba.

Lakini pia katika kuunda serikali, kiongozi mkuu (kwa kesi hii ni Rais) anayo nafasi ya kuweka watu wake kwenye mfumo (cycle) ili kupata urahisi wa hapa na pale.

Kwa kufanya hivyo, wengi hupendelea zaidi walio watiifu kwao (the yes man kind of) hivyo kiongozi hutawala kwa kusifiwa na kuabudiwa sana na hao wateule/wapambe (in some ways).

Wengi tumeshuhudia hili pengine zaidi katika awamu hii iliyokoma, wapambe walienda mbali zaidi kiasi cha kutuaminisha kuwa HAKUTATOKEA tena kiongozi wa kaliba ya JPM (Rest in Power).

Kwamba viongozi wa aina yake hawazaliwi kila wakati (one of his kind), hivyo tumshukuru Mungu kwa tunu hii. Huku wengine wakimtaka Mungu amshukuru JPM!

Wakati SIFA zote hizo zikimwagwa kwa JPM, mama yetu Samia alikuwepo kando yake (just a heartbeat away) lakini hazikuwahi kumhusu hata KIDOGO!

Sasa, baada ya mama kuapishwa, huku akijua kabisa hakuwahi kusifiwa (kuaminiwa) kutosha VIATU vile. Leo atapata wapi nguvu ya kuamini kuwa anaweza?

Inabidi sasa wapambe tukubaliane ya kuwa sio JPM tu aliyekuwa na uwezo wa kutuvusha, kwamba ilifanyika hivyo kwa unafiki tu ili kumtia moyo (kama si kumjaza upepo) mkuu ili achape kazi.

Na sasa tutarajie SIFA zile zile kumrudia Mama yetu, na kwa rekodi zake, basi iwe ZAIDI kwa maana nchi haijapata kuongozwa na Rais mwanamke hapo kabla.

Basi nawasihi tubadili beti tu, ila kiitikio kibakie kile kile. Tuna imani na uwezo wa mama, piga kazi kazi kwa kumtanguliza Mungu na kuzingatia misingi ya utu na utawala bora.

Kila la kheri katika uongozi wako, tunaamini tuko mikono salama. Tuvushe tuifikie nchi ya ahadi.

Ncha Kali.
 
Ukweli ni kwamba JPM kuna mambo makubwa amefanya, Ila tukubaliane Tu jamaa alikuwa hajali wananchi hasa wa kipato cha Kati na juu, alikuwa na kiburi na dharau sana kujifanya kuwajali wanyonge ambao wanyonge hao hao wanategemea wa kipatao cha Kati na juu kusurvive kumeleta mabanda ni mianvuli Tu mjini huku maisha yakiwa magumu, kudai Korona haipo na kuzima data zote huku watu wakifa kama kuku na yeye akiona na still anasema Korona haipo, lengo likiwa kumantain hela Kwa ajiri ya miradi mikubwa😦 so sad,

Madhara yake ugonjwa umemuathiri mpak yeye. Inaeleweka wazi Kwa maisha ya nyumban ukiwa na hela nyumban umejiandaa na ujenzi au ujenzi unaendelea na ghafla mtoto akaumwa hujiulizi mara mbili mbili just splash cash to save

Mama awe na busara Tu na uongozi , ampe nguvu Tu majaliwa ili kumantain accountability Kwa watenda kazi

Tuishi Kwa upendo na tuthaminiane , tusilazane njaa kisa miradi ya miaka Mia ijayo bhana , Mungu anajua Kesho yetu
 
Vingozi wanaenda na vibe mama alilalala na wote watalala ivyo ivyo kuanzia PM nk!

Naamini aliyoyasoma kwa JPM mi mengi na yeye atapita mule mule hasa kwy kazi, ila uchumi atauweka sawa akisikiliza washauri! Ni vyema akamtafuta CAG aliye pita Prof Assad awe miongoni kwa washauri wake wa mambo ya uchumi na fedha.
 
Ni kawaida ya watanzani kujipendekeza kwa wakubwa wao na kwa Rais aliyepo madarakani ili kupata teuzi au kulinda maslahi yao.

Wanammwaga sifa nyingi tena zilizopitiliza, mpk Rais anajiona ni Mungu mtu, JAMBO HILI LIKOME, NALO LICHIMBIWE KABURI LIZIKWE.

Mahali pengine watu tulimlaumu marehemu kuwa ni katiri kumbe mengine anapandikizwa au utokana na kumtukuza kulikopitiza nae alituka.
JAMBO HILI LIKOME KABISA

Sifa hazikatazwi lakini siyo kutumtukuza mtu kana kwamba anachofanya ni miujiza ambayo hata Mungu hawezi kufanya
MNAWAKOSESHA KWA MUNGU NA KWA WANAADAM.

Waacheni watimize wajibu wa majukumu yao ambayo sisi tumewatuma.
Nawe mtanzania mahali ulipo timiza wajibu wako ulotuma.

KWA KIPINDI KILICHOPITA MLIZIDI SANA KUTUKUZA MPAKA DUNIA ILIKEREKA
KOMENI, MSAIDIE RAIS, CHUKUA UJIRA WAKO KALE NA MKEO MSITUHARIBIE MARAIS WETU.

ONA, MMESABABISHA WAZIRI MKUU WETU KUSEMA UONGO MBELE YA MIMBARI

KOMENI BHANA, TUMECHOKA HAO VIONGOZI HUWA NA NIA NJEMA TU, CCM NA VIBARAKA WANAOTEULIWA MNATUHARIBIA VIONGOZI WETU.
Mpaka Sasa hautujui huyu aliyetangulia ni muda ulioamliwa au Mungu kampiga kwakuwa alimkosea.

Kama Mungu alimkasirikia kwa kusea, basi ccm na ninyi nyote mliomkosesha hampo salama.
NAWAKEMEA, MKOME

ANGALIZI,
Msichukulie jinsia ya Mh Suruhu, kumdanganya tutamwomba Mungu ampe kutambua hila zetu, na tunaanza maombi ya kumwomba Mungu ili mlozoea hayo Mungu awapige haraka Sana
Amen
 
Yeye mwenyewe unakuta anapenda kutukuzwa sasa sisi tufanyaje?
 
Kwani hakuchanganya na zake? Tuombe huyu achanganye na zake maana hao wapambe hawakosekani.
 
Ni kweli katika nafsi yangu ninahakika itachukua miaka zaidi ya 50 kuja kumpata Rais kama Magufuli..ITACHUKUA ZAIDI YA MIAKA 50 KUMPATA RAIS KAMA MAGUFULI.

Ukiangalia mapendekezo ya watu humu jf ata wanaosema makamu apewe nani jina linalotajwa ni "January" unaweza pata picha kabisa wengi wetu ni watu wa aina gani! Tunapenda kusoma historia za nchi za wenzetu jinsi walivyo kafanikiwa lakini hatupendi kuishi hivo ili tufanikiwe.

Mara nyingi tunajisema China miaka ya 60 ilikuwa sawa kiuchumi na Tanzania, sisi viongozi wetu wamelala alafu unampendekeza mtu kama January eti ndo aje akufikishe huko kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba JPM kuna mambo makubwa amefanya , Ila tukubaliane Tu jamaa alikuwa hajali wananchi hasa wa kipato cha Kati na juu, alikuwa na kiburi na dharau sana ....kujifanya kuwajali wanyonge ambao wanyonge hao hao wanategemea wa kipatao cha Kati na juu kusurvive kumeleta mabanda ni mianvuli Tu mjini huku maisha yakiwa magumu , kudai Korona haipo na kuzima data zote huku watu wakifa kama kuku na yeye akiona na still anasema Korona haipo , lengo likiwa kumantain hela Kwa ajiri ya miradi mikubwa😦 so sad, ..... Madhara yake ugonjwa umemuathiri mpak yeye ..... Inaeleweka wazi Kwa maisha ya nyumban ukiwa na hela nyumban umejiandaa na ujenzi au ujenzi unaendelea na ghafla mtoto akaumwa hujiulizi mara mbili mbili just splash cash to save .....

Mama awe na busara Tu na uongozi , ampe nguvu Tu majaliwa ili kumantain accountability Kwa watenda kazi .....

Tuishi Kwa upendo na tuthaminiane , tusilazane njaa kisa miradi ya miaka Mia ijayo bhana , Mungu anajua Kesho yetu
 
Back
Top Bottom