Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International limeitaka Tanzania kuachana na mashtaka dhidi ya mchekeshaji maarufu nchini humo Idris Sultan Idris anatarajiwa kufika mahakamani kesho...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakati wa kuweka mashada ya maua leo kwenye ratiba kulikuwa na mwakilishi wa chama cha Wake wa Viongozi. Hivyo hicho chama kinahusisha wake wa viongozi wa ngazi zipi na malengo yake hasa ni...
0 Reactions
7 Replies
979 Views
Wengi wetu niwaumini wa dini mbalimbali na tumefikia hatua kila jambo baya au zuri tunamtaja Mwenyenzi Mungu, nipongeze kwa ilo. Lakini ni ukweli usiopingika kwamba tunamkosea sana Mwenyenzi...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Nafahamu kwamba siasa za CCM kwa vyama vya upinzani zimejaa uadui na uhasama wa kutisha sana , na ndio maana vyama vya upinzani kwa miaka 6 sasa vimepigwa marufuku kufanya siasa za majukwaa...
47 Reactions
147 Replies
13K Views
If you want to know who the heck is Magufuli go to Mererani where as The president of United Republic of Tanzania has ordered the building of a great WALL to protect precious stones of Tanzinite...
11 Reactions
97 Replies
8K Views
Katika hizi siku kadhaa za kifo cha magufuli kumeonekana kutokea kwa vitendo kadhaa vya kuonyesha furaha kwa baadhi ya watu na masikitiko kwa baadhi ya watu. Kwa kifupi kumekuwepo na hisia mseto...
39 Reactions
128 Replies
10K Views
Ugiriki ya zamani ilikua imeundwa na miji ipatayo mia moja ambapo kila mji ulikua na utawala wake, Mji wa Athens na Sparta ndio ulikua miji mikubwa na yenye nguvu zaidi, japo miji hii mra nyingi...
30 Reactions
62 Replies
11K Views
Serikali ilipopinga kwa nguvu zote ushoga... Katika kikao cha Bunge la Bajeti kinachoendelea hivi sasa mjini Dodoma, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Nakumbuka wakati wa likizo nimekutana na Binti mdogo tu nikiwa Nyumbani kwa mzee mmoja ambaye ni rais mstaafu tukiongelea ishu ya uwekezaji na mradi wa ufugaji unavyoendeshwa nchini sweden, tukiwa...
14 Reactions
82 Replies
9K Views
Tunaoelewa suala hili hatuangahiki kwamba anatoka lini tunajua ni project iloandaliwa kitambo kwa ajili ya Tz, Wengi hakuwa chaguo letu lakin ilibidi iwe Magufuli hatoki 2020 Kuna mengi utayaona...
3 Reactions
82 Replies
9K Views
Nimesikia Chato wakiambiwa watakuwa mkoa kamili endapo watakidhi vigezo na kama hawajakidhi vigezo wataelekezwa cha kufanya waweze kukidhi vigezo. Ningependa kufahamishwa ni utaratibu gani rasmi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana kujifunza na kuchukua hatua bado ni jambo la kheri sana. Pichani ni yule mpiga nyungu mbobezi: Kwamba anaisifia mvua? Ni wazi kuwa kuna jambo limemsibu. Tusiwe...
35 Reactions
150 Replies
14K Views
Ama kwa hakika tumeondokewa na Jembe. Nilikusupport sana kwakua mimi ni muumini wa falsafa za matendo. Kupiga kazi bila porojo. That's my motto. Ingawa umemaliza mwendo. Rest assured kwamba...
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Niambieni ni nani aliebaki na ambae atamsikiliza kwa sasa. Mpaka hapa,bado kuna watu watakuwa wanaendelea kulaumu wasaidizi wake?
6 Reactions
29 Replies
3K Views
2015 hakuna aliyekuwa tayari kumpokea Mzee Lowassa, hakuna andalizi lolote lililotegemewa na Mwana Chadema wa damu. Dalili zote sasa zinaonyesha muda wowote ule kunaweza kukawa na tangazo la...
4 Reactions
76 Replies
6K Views
Mazishi ya Rais Magufuli yanaweza kuweka historia ya kuhudhuriwa na watu wengi kuanzia kuaga hadi kesho atakapozikwa. Kwa haraka haraka naona halaiki iliyomuaga na itakayomzika pamoja na matatizo...
9 Reactions
146 Replies
15K Views
Tanzania ilizizima kwa taharuki,simanzi na kila aina ya mtikisiko kwa mapokeo ya hisia juu ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania JPM au John Pombe Magufuli,mara baada ya tanzia iliyotolewa na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Tahadhima kwenu kizazi Cha Covido-19! Leo akihutubia kijijini kwake Chato katika uzinduzi wa shamba la miti (Silayo Forest) Rais Magufuli alitumia jukwaa hilo kutoa msimamo wa Serikali kuhusu...
14 Reactions
81 Replies
8K Views
Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amesema atamkumbuka Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Magufuli kwa mambo makubwa matatu. Mchungaji Msigwa ambaye leo Ijumaa...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwa unafiki unaoendelea kipindi hiki cha msiba...unaweza fikri mambo yataenda sawa sawia baada ya kuzikwa JPM. Ila niwahakikishieni kuwa hakuna shujaa yeyote aliyewahi kulala akabaki anazungumzwa...
10 Reactions
98 Replies
8K Views
Back
Top Bottom