Sheria ya takwimu iliyopitishwa hivi karibuni inakataza matumizi na kutangaza takwimu zisizo rasmi, nimemsikia Waziri Mkuu akiijulisha dunia kuwa watu bilioni 3.9 wamefuatilia msiba wa Hayati JPM...
Magufuli kauliza katenda dhambi gani asipewe tena miaka 5. kwanza dhambi kubwa sana ni RAMBIRAMBI za tetemeko, kivuko kwa wahusika ziligeuzwa kuwa mali ya serikali na ikafanya kazi ya serikali...
Wanabodi,
Mimi ni mdau mkubwa wa maonyesho ya Saba Saba, kwenye Saba Saba ya Mwaka huu, nimetembelea Banda la Wakala wa Nishati Vijijini, REA kwenye maonyesho hayo, nikazungumza Mwenyekiti wa...
Mchakato kuhusu kumtangaza mtakatifu Julius Nyerere ulizinduliwa na Jimbo Katoliki la Musoma mwaka 2006. Je, umefikia wapi?
Jibu la swali hili nisentensi moja tu kama tutakavyoona.“Mchakato” wa...
Imepita miaka mingi sasa tangu waafrika tuanze kulilia baba wa Taifa la Tanzania na mkombozi wa nchi za Afrka kutangazwa kuwa mwenyeheri au kwa kimombo wanaita A senthood life
Huu mchakato...
Viongozi wa umma nawapa ushauri wa bure kuepuka kutumbuliwa na Raisi Mpya Samia
1. Spidi mliyokuwa nayo kipindi cha Rais Magufuli msiache mkiacha wananchi watatungua kilio kumlilia kumkumbuka...
Wanabodi,
hili ni bandiko la swali ,
huu wema wa Rais Kenyatta kuturudishia dhahabu yetu,
Je Rais Uhuru Kenyatta Amethibitisha Kuwa Kenya ni Jirani Mwema?, ni Mshirika Mwema wa Ujirani
mwema wa...
Habari Wakuu,
Naomba niende kwenye mada. Ningependa kujua asili au chimbuko la B2M. Kwa wazoefu na wakuu wa umri na uzoefu kwenye masuala ya mipango na siasa nadhan hii team sio ngeni kwenu...
Kwa mujibu wa Dr. Magufuli (rest in eternal peace), siku akiwahutubia wakazi wa Kinyerezi, anasikika akisema kuwa...
Walipoanza mchakato wa ujenzi wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere...
Watu wafuatao tayari Wana makundi ndani na nje ya chama, Taifa linahitaji umoja zaidi kipindi hiki kuliko harakati za uchaguzi za 2025.
Majina haya kwa Sasa na hata baadaye si yakuyapa madaraka...
Wanabodi,
Habarini za masiku?,
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa na Pascal Mayalla", hii ikiwa ndio makala ya kwanza tangu nilipoitwa kuhojiwa Kamati ya Bunge. Mimi...
WAZIRI MKUU WA UINGEREZA
Boris Johnson ameandika kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter kusikitishwa na taarifa za kifo cha Dkt. John Magufuli
RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA
Dkt...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema Waziri Mkuu, Majaliwa anaanza ziara ya siku mbili mkoani Mbeya.
Akiwa mkoani Mbeya Mhe. Majaliwa atafungua Jengo la Mama na Mtoto jijini Mbeya...
Inawezekana kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke hatimaye. Majaliwa amefanya kazi vizuri na JPM na pamoja wamepambana. Labda hakuna sababu ya kumbadilisha lakini miaka sitini hivi baadaye hatuwezi kuwa na...
Mara baada ya kifo cha ghafla cha aliekuwa Makamu wa Rais wakati huo Dr Omary Ally Juma.
Aliteuliwa Dr Mohamed Shein kushika wadhfa huo...mnakumbuka ilikuwaje?
Alipigiwa kura bungeni?
Au...
Habari zenu wanajukwaa,
Nianze kwa kuwapa pole wanajukwaa wenzangu kwa msiba huu mzito wa Rais wetu mpendwa JPM.
Leo acha nisimulie namna ambavyo nilimfahamu JPM kuwa ni mtu asiye na upendeleo...
Kwa wazee wa umri wangu wataelewa maana halisi ya mtu kuwa mserikali. Kwa vijana niwasaidie kuwa mserikali Ni mtu aliyekula kiapo chakiutumishi kinachomtaka wakati wote kuitii na kuitetea serikali...
Miaka mitano hii imeigawanya sana jamii. Ukiwa mfanyakazi Serikalini una nafasi fulani na inakupatia mshahara mzuri basi uliambiwa wewe unatakiwa uishi kama shetani awamu ya tano
Hapo inabidi...
Kwa ufupi sana
Dkt. Hosea ni moja kati ya watu wanaogombea urais wa TLS.
Aliwahi kuwa mkurugenzi mkuu wa PCCB. Katika uongozi wake serikali enzi Rais Kikwete serikali ilikumbwa na kashfa kubwa...
Baba yenu sijui uzee sijui macho yangu. Katika pita pita yangu sioni ndugu zetu wa kihindi wakimuaga jemadari shujaa wetu John Pombe Magufuli kama wanyonge au kwa vile wao si wanyonge. Si Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.