Kwa vile Benjamin William Mkapa ni baba wa demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, tumuenzi kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
37,962
2,000
Wanabodi,

Kwa vile rais msataafu, Benjamin William Mkapa ni Baba wa Demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, na sisi Watanzania katika ujumla wetu, tumuenzi Benjamini kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia tuu!.

Hiki ni kipindi maalum cha kumsherekea Benjamin William Mkapa.

Karibu.

Paskali
 
Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,436
2,000
FB_IMG_1596084003859.jpg Mkapa
FB_IMG_1596084003859.jpg
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,612
2,000
Kuna mtoto ataona wivu Mzee Mkapa kuongelewa na kujadiliwa na sasa hivi utasikia na yeye kaposti yake ili tumuongelee yeye, ...
 
Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,843
2,000
Wanabodi,

Kwa vile rais msataafu, Benjamin William Mkapa ni Baba wa Demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, na sisi Watanzania katika ujumla wetu, tumuenzi Benjamini kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia tuu!.

Hiki ni kipindi maalum cha kumsherekea Benjamin William Mkapa.

Karibu.

Paskali
Kishasahaulika Mkuu
Wafiwa washaanza kutengua
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
11,104
2,000
Wanabodi,

Kwa vile rais msataafu, Benjamin William Mkapa ni Baba wa Demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, na sisi Watanzania katika ujumla wetu, tumuenzi Benjamini kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia tuu!.

Hiki ni kipindi maalum cha kumsherekea Benjamin William Mkapa.

Karibu.

Paskali
Kuna jamaa limoja lililia machozi ya kinafki eti na yeye aonekane alilia.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,365
2,000
Wanabodi,

Kwa vile rais msataafu, Benjamin William Mkapa ni Baba wa Demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, na sisi Watanzania katika ujumla wetu, tumuenzi Benjamini kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia tuu!.

Hiki ni kipindi maalum cha kumsherekea Benjamin William Mkapa.

Karibu.

Paskali

Baba wa demokrasia aliyekuwa anapanda majukwaani baada ya kustaafu kueneza siasa za chuki dhidi ya upinzani?
 
french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
2,775
2,000
Wanabodi,

Kwa vile rais msataafu, Benjamin William Mkapa ni Baba wa Demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, na sisi Watanzania katika ujumla wetu, tumuenzi Benjamini kwa kumsheherekea na kumuishi na sio kwa kumlilia tuu!.

Hiki ni kipindi maalum cha kumsherekea Benjamin William Mkapa.

Karibu.

Paskali
kwani mwaka 2000 ccm ilishinda znz? jibu baki nalo.
 
Mhadzabe

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,921
2,000
Baba wa Demokrasia?....ha ha ha ha ungesema alikuwa mfuasi wa UTANDAWAZI na UBINAFSISHAJI ungekuwa umenena!

Tuache kutoa sifa za uongo kisa tu mwenzetu katangulia mbele za haki!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom