Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwaka 2010 Kama sikosei Wapinzani hasa CHADEMA walidhulumiwa majimbo mengi Sana ya ubunge na pengine udiwani. Lakini sehemu zote ambazo nguvu ya Umma ilitumika majimbo yaliokolewa Nitayataja...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Wataalam nisaidieni. Nimeona katika Ibada ya kumuaga JPM , Mzee JK na mzee Mwinyi wameiingia kwanza halafu akaingia Makamu wa pili Rais wa Zanzibar mstaafu Balozi Seif Ally Idd. Hii imekaaje?
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwaka 2015 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi , ambaye leo ni Rais wa Tanzania ndugu Magufuli, alitoa waraka wa mafanikio ya ya serikali ya awamu ya Nne ya ndugu Jakaya Kikwete, katika mafanikio hayo...
8 Reactions
48 Replies
7K Views
Nchi yetu haiishiwi mambo na mengi ni yakutengeneza, jaribu kukonnect dots kwa mambo yafuatayo; 1. Ni Wiki ya pili sasa lakini hakuna chombo cha habari chochote kinachotaka tumjue vizur Rais...
69 Reactions
124 Replies
15K Views
Hii kauli kama Kichwa cha Habari kinavyosema eti hakuna kuchagua mbunge wa upinzani hata kama anafaa. Maneno kama haya kuzungumzwa na kiongozi mwenye dola ambaye anawania muhula mwingine wa...
16 Reactions
70 Replies
8K Views
Wanabodi, Angalizo la kuzuia kukereka. Kuna members humu wanakereka na kukasirika pale serikali ya Tanzania, au rais Magufuli na serikali yake anapofanya vizuri kustahili pongezi, Hivyo...
30 Reactions
141 Replies
13K Views
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimatifa wakati wa Serikali ya Tanzania, Bernard Membe ambaye mwezi Februari mwaka huu chama chake cha CCM kilipendekeza kumvua uanachama...
16 Reactions
119 Replies
11K Views
Mh.Dk kigwangala leo amemkabidhi mh rais sanamu maalumu la baba wa taifa ili kutambua mchango wake wa uhifadhi. Kwa macho yangu naona halipo sawa licha ya nia njema ya waziri Hivi kigwangala...
12 Reactions
343 Replies
54K Views
Habari za asubuhi wakuu, Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya Demokrasia. Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na...
14 Reactions
292 Replies
31K Views
Kumekuwepo na vijembe na lugha za kejeli zinazotolewa na baadhi ya viongozi kutuhumu awamu zilizopita hasa awamu ya tano kana kwamba wao waliiba na hakuna maendeleo waliyoyafanya. Orodha ni ndefu...
57 Reactions
414 Replies
49K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi huwaletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo pia huchapishwa kwenye magazeti mbalimbali ya ndani nchini Tanzania. Makala ya leo, ni...
5 Reactions
41 Replies
5K Views
Rais Magufuli alikuwa muumini mkubwa wa maombi na kuombewa. Nna imani kabisa kama tungejulishwa kuhusu kuumwa kwake huenda wengi sana watanzania tungemuombea. Badala yake serikali kwa sababu...
25 Reactions
113 Replies
10K Views
Wanabodi, Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni, Rais Magufuli, kwanza yuko well informed kwa upande wa data za utendaji wa wateule wake wote! kichwani yuko fiti sana katika utunzaji wa kumbukumbu...
33 Reactions
115 Replies
10K Views
Baada ya taarifa kuenea kwamba serikali ina mpango wa kuwasilisha muswada Bungeni utakaowabana watumishi wa umma kwa kupunguza matumizi mbalimbali ya mashirika ya umma ikiwemo kuondoa posho za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Miongoni mwa kauli zilizonifurahisha siku ya Jumatatu; siku maalum ya mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa rais wa JMT wa awamu ya Tano mheshimiwa JPM ni "Unataka Tanzania iwafanyie nini?" Ni kauli...
2 Reactions
6 Replies
903 Views
1 Fair Thee Well John Magufuli You who rose above the rest And went down bellow the rest You who stood above the rest And Slept bellow the Rest 2 Fair Thee Well John Magufuli You whose Glory never...
1 Reactions
1 Replies
524 Views
Wanabodi, Leo tena nimepata fursa ya kuwaletea makala hii ya "Kwa Maslahi ya Taifa". Hili ni bandiko la wito kwa Watanzania tuache kufanya mizaha kwenye kila kitu kama hali ilivyo sasa ya kufanya...
12 Reactions
74 Replies
9K Views
Wanabodi, Kwanza sikiliza hii Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, ni moja wa Ma RC very bold katika kuusema ukweli bayana!, leo amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia...
17 Reactions
128 Replies
13K Views
Back
Top Bottom