Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,060
- 6,828
Mwaka 1 na miezi ya JK aliweza kutoa ajira kwa watoto maskini, alitoa mikopo kwa watoto wa masikini wengi na hakubagua hata waliosoma private schools nao walipata nikiwemo mimi lakini ingekuwa leo ingekula kwangu chuo ningesikia kwenye radio na tv, wengine walipata mpaka 100% mikopo (Mpaka mtoto wa JPM alipata mkopo), Mishahara iliongezeka, alitoa posho kama kawaida (walimu wakienda kusahihisha mitihani wanapata posho),
wafanyakazi walipandishwa madaraja, increment ilitolewa, HELSB walikata asilimia 8%, wamachinga na wa mama ntilie walifanya shughuli zao japo kuna kipindi walinyanyasika lakini pesa walipata nyingi na wengine waliweza kuwasomesha watoto wao na kujenga nyumba, Mikopo kutoka kwa mabenki na asasi binafsi ilikuwepo ya kutosha, biashara zilianzishwa nyingi rasmi na zisizo rasmi na ziliweza kuwaajiri watu, na mauzo nje ya nchi yalikuwa kila kukicha.
Kwa mwaka 1 na miezi ya uongozi wa JPM?