MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,575
- 8,911
Yaani watu watasimishwa, watafukuzwa wata fanywa sijui nini ila still tatizo halitaisha kamwe.
Mifumo inahitaji overhaul kubwa sana.
Ufanyaji kazi wa Serikali tu unavutia rushwa, na mtu asikudanganye rushwa iko kila Idara nchi hii na unakuta Halimashauri nzima kila mtu ni mpigaji kwa levo yake. Serikali hii inapenda sana Manul.
Mfagiaji wa Halimashauri anapiga pesa za kununulia vifaa vya usafi, Secretary anapiga hadi Kalamu.
Nini Cha Kufanya
Ukiangalia Vyombo vya Dolla kama Polisi ndo kumejaa Rushwa, hivi ni kivipi Polisi wanaweza saidia Serikali kupambana na rushwa?
Idara za Serikali hadi zama hizi bado wanaendesha manual, hizi zina attract sana rushwa make kuna pysical contact sana.
Mtu anaenda Tanesco kuomba aunganushiwe umeme na unakuta pale anaonana hadi na Meneja unategemea nini?
TANESCO tengenezeni mfumo ambao mtu ata apply kuunganishiwa umeme na atatract online, mbona Brela wameweza?
The same Mamlaka za maji.
Serikali Ianzishe zero tolerance, kwa Idara zote za Serikali.Hii kitu kuna NGOs moja International nakumbuka ilikula hadi mpishi wa Chai, make mpishi alisikia sikia fununu ila kakaa kimya.
Pale Bandalini si Mkurugenzi pekee mpigaji ni kila mtu kws urefu wa kamba yake.
Mkurugenzi kama alikuwa anapiga maana yake Secretary wake anajua sana huo upigaji, una mtoa Mkurugenzi unamuacha Secretary unategema nini?
Wasaidizi wake ngaza za chini wote wanajua huo upigaji hata kwa kusikia, Dreva wake anajua hata kwa kusikia sikia, hao wote safisha.
Pale Bandarini unatakiwa unasafisha hadi Wafagiaji kulingana na wanavyo elewa.
The same kwenye Halimashauri, Unamtoa mkurugenzi, ila Secretary yupo, Mwenyekiti wa Halimashauri yupo, wasaidizi wa Idara mbalimbali wapo, Aiseee hao wote ni kusafisha kama walikuwa na fununua na wakakaa kimya safisha wote.
Sheria za kupambana na Ufisadi bado sana nchi hii na ndo maana kipindi Cha Magufuri hakuna alie hukumiwa kwa ufisadi.
Mifumo yote ya Serikali ya utendaji kazi lazima iwe wazi mno.
Mfano Usiku huu unategema Road Block za mazao ya misitu nini kinaendelea? Misitu inafyekwa na watu wanakamatishwa pesa na hii yote ni kwa sababu ya mifumo hovyo ya kufanya kazi.
Usiku huu Trafiki na Police wako Barabarani wameweka Road Block, yaani zile Road Block ukikamatwa labda uwe umebeba kichwa cha mtu kwenye gari hapo watakomaa na wewe.
Hakuna Mfumo maalumu wa ukaguzi wa Magari Barabarani ndo maana unakuta Trafiki Barabara moja wako kama 20 wameachiana mita kama 1000 hivi hadi 2000.
KWA STAILI HIZI RUSHWA HAZITAKAA ZIISHE MILELE DAIMA.