Mungu mpe Tundu Mughwai maisha marefu...

Mkwawe

JF-Expert Member
Jun 10, 2016
2,344
4,167
Naam ni maombi yangu kwa huyu mwanasiasa (diaspora)(teh teh teh) ya kwamba Mungu ampe misha marefu ili ashuhudie matokeo ya upando wake..

Ashuhudie maamuzi ya watu wenye hekima kwa imma kupendwa yeye au maiti..

Ashuhudie yeye na wajukuu same kuwa watanzania ni watu makini na hawakuwahi kufanya makosa..

Na mwisho kabisa ashuhudie kuwa kazi aliyoichagua aliikurupukia ni afadhali angefungua fremu akawa wakili kweli mtaani tu

Mungu mpe maisha marefu huyu mtu ili ajue kuna muda ni heri kufa kuliko kuishi ndani ya hasira za watu

Ni Mimi "MATAGA" mkuu
 
nafikiri kwake inatosha kumuona adui wake aliyetoa oda akatandikwe marisasi yale yote akilala mauti kabla yake,hayo ni mawazo yangu
 
Unadhani ye tobo lissu ana maadui wangapi hapa Tanzania??

Ingia YouTube, Facebook na Instagram ndo utelewa nimaanisha nini
 
Kuna kundi jipya la wasifiaji limeibuka nia yao ni ile ile kupata vyeo.

CCM ni genge la wahuni na majambazi
Wote walioenda Uhuru stadium, Jamhuri, Amaan na Kirumba walikuwa wanataka vyeo nadhani
 
Back
Top Bottom