johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,867
- 141,804
Mchungaji Msigwa ambaye amedai anaiwakilisha CHADEMA katika mazishi ya kijeshi ya hayati Magufuli kule Chato amesema mtu akifa kinachopaswa kujadiliwa ni mazuri aliyoyatenda ili yaendelexwe na kamwe si mabaya yake.
Mtumishi wa Mungu mchungaji Msigwa amesema hayati Magufuli ana mengi mazuri aliyotuachia ikiwemo mapambano ya rushwa na ufisadi, ulinzi wa rasilimali, nidhamu serikalini na dhana ya Kujitegemea ambavyo ni lazima vienziwe bila kujali itikadi za kisiasa, dini au kabila.
Chanzo: ITV habari
RIP Magufuli!