Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Alfred Lucas - Imechapwa 20 June 2012 WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema njama za kuiba mabilioni ya shilingi ya safari za Rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo. Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza...
20 Reactions
71 Replies
7K Views
Wakuu, Zimechapwa zaidi ya Bilioni 480 kutoka Hazina na wapinzani wamekaa kutimuana timuana na kumalizana wao kwa wao wakati Taifa likielekea kwenye janga kubwa. 'Vijana wa kazi' wamewapa kila...
9 Reactions
77 Replies
9K Views
Kwanini Kikwete kamteua Lawrence Mafuru kuwa Msajili wa Hazina? Penye moshi??? stay tuned ====================================== UPDATES RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI...
0 Reactions
89 Replies
38K Views
Wanajamii kichwa cha habari cha jieleza, nimeshitushwa na kichwa cha gazeti hili na maneno ya chini yake maana kwa kiasi kikubwa yanamuhusu Rais mstaafu, Je! Yana ukweli wowote, vipi jawa jamaa...
1 Reactions
369 Replies
50K Views
Mheshimiwa Zitto Kabwe, amemtaja aliyekuwa naibu waziri wa Sayansi na Teknolojia katika awamu ya nne ya Serikali ya JMT iliyoongozwa na Jakaya Kikwete, Mhe. January Makamba kama mwanasiasa pekee...
1 Reactions
143 Replies
18K Views
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kujiwekea malengo ya kutwaa tuzo ya Mo Ibrahim ya utawala bora kwa kurejesha utawala bora unaojali msingi ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanajamvi ! Awali ya yote poleni kwa msiba! Niende moja kwa moja kwenye mada. Wanyonge wana shida tena kubwa sana. Twendeni pamoja taratibu mtajua shida ilipo. Siku moja nikiwa mahali...
82 Reactions
168 Replies
14K Views
HISA ZA KINYEREZI III (600 MW) Taarifa tulizopewa ni kwamba TANESCO ina 10% ya hisa zote (?) na SHANGTAN 60%. Ninahisi gharama za US $ 342M ni zile za kuanzia ujenzi wa 300 MW. Je 30% ya...
4 Reactions
61 Replies
8K Views
Watu wasiopenda demokrasia na haki ,huwashabikia na kuwatukuza sana watu wanaokandamiza haki na demokrasia. Kitu kimoja nataka kuwaambia watu wa aina hii ni kuwa; haki na demokrasia ndio...
2 Reactions
5 Replies
861 Views
Kuna watu wamepiga shule lakini wako kimya kabisa tofauti na yule msomi wa uchumi first class aliyetumbuliwa baada ya kutunukiwa PhD. Nimeipitia CV ya Dr. Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za...
7 Reactions
142 Replies
16K Views
Hivi ni aibu, aibu kubwa kwa serikali inayojinadi kuwa ya wanyonge. Hao "wanyonge" wamepiga kelele sana kuhusu makampuni ya simu kuwaumiza kwa gharama za juu za vifurushi vya data na maongezi na...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Mh Rais, Makonda bado ni kijana sana kupotea kwenye siasa, pamoja na mapungufu na mabaya yake usimuache. Itapendeza zaidi akiwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, awe karibu na rafiki yake Ridhwani...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ipo Sala maarufu sana isaliwayo na wana Katoriki baada tu ya matoleo inayofahamika kama, 'HILI NI FUMBO LA IMANI'.Sala hiyo inafikirisha sana! Mfano, Siasa hasa za ULIMWENGU huu zimejaa mafumbo...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Niliona kwa JK na kwa Magufuli, sijajua kwa Mh Mkapa na Mwinyi na Nyerere kama wazee wa mila waliwakatisha na kuwapa mkuki na ngao. Naomba kujua/picha kama Mh Rais Samia Suluhu kama pia alipewa.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Hii Tanzania huwa inanishangaza sana. Likifanyika jambo zuri la kisera au lenye baraka za mawaziri, ridhaa ya Rais, n.k, sifa humiminiwa Raisi na Waziri anaweza hata asitajwe. Cha ajabu na...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Kama alikuwa na takwimu kama hizi alikuwa wapi kuzitoa hapo awali? Kwa nini hakutoa ushauri wa kiuchumi? Huu ni unafiki wa kisiasa.
3 Reactions
50 Replies
4K Views
Vyama vingi kama sio vyote hapa Tanzania Mwenyekiti ndiye anayeteua Katibu mkuu wa chama. Kwa kuzingatia umuhimu wa nafasi hii sio jambo la afya hata kidogo mtu mmoja aaumue mwenyewe nani atamweka...
0 Reactions
3 Replies
690 Views
Shikamoo mama Samia. Nimeona uko serious sana na report ya CAG. I love you. Nchi hii imejaa notable crooks. Please deal with them. Nenda kwenye public institutions and do something. Halmashauri...
30 Reactions
105 Replies
9K Views
Katika mahojiano ya Jana VOA -Anasema Vyama vya upinzani havijaenea kama CCM,kwa hiyo hii inathibitisha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye uchaguzi mkuu 2020? -Mbona hakuzungumza kuhusu...
43 Reactions
128 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…