Kwakuwa Serikali imeingia katika Mchakato wa kuondoa mzigo wa Madeni kwa watu wake,napendekeza kuwe na utaratibu ambao kipindi fulani Mfano ndani ya Miezi sita, Mdaiwa yeyote atakayeweza kulipa...
Mbunge wa Jimbo la Hai (CCM), Saasisha Mafuwe ametoa mapendekezo leo Bungeni, Dodoma akiomba Tanzania iwe na siku maalum ya kumkumbuka Hayati Dr. John Pombe Magufuli (Magufuli Day) kwa ajili ya...
ACT Wazalendo imesema watashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe kujaza nafasi ya mbunge iliyo wazi baada ya mbunge wa awali kufariki dunia.
Katibu mkuu wa ACT Wazalendo mh Shaibu amesema...
Mbunge wa viti maalum, Ester Bulaya ameishauri Serikali ya Tanzania kutoa mafunzo ya kutumia silaha kwa vijana wachache wanaoshiriki mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) badala ya kuwafundisha...
Wakati huu ambapo Serikali inafanya mageuzi katika Fiscal Expenditure nadhani kuna masuala ambayo inabidi yafanyiwe maamuzi haraka ili kuinufaisha Serikali.
1. Harmonisation ya Mishahara ya...
Macho na masikio ya wananchi yapo Dodoma kwenye Bunge la Bajeti kufuatilia ikiwa bajeti hii itakuwa mkombozi kwa wananchi ama la.
Ikumbukwe bajeti nyingi za awamu ya tano zilijielekeza kwenye...
Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.
Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.
Mnaonaje...
1. Tume huru inayowajibika kwa wapiga kura sio kwa serikali au mtu.
2. Kupima afya za akili za wagombea kabla hata ya kuchukua fomu, tena na daktari maalumu.
3. Kuweka ukomo kwa wagombea ubunge...
Salaam wanajamvi poleni kwa msiba wa taifa
Wakati wa utawala wa JPM mambo mengi nyeti ya Serikali yalikuwa yanavuja mpaka kufikia hatua jamii iliwaamini watu kama kigogo, Maria Sarungi na wengine...
Mnataka tena kupata "chuma" ili muongozwe kwa mkono wa chuma?
Mnayo hamu ya kupata "jiwe" tena litakalokuwa halisikilizi yoyote na likiamua ndio inakuwa sheria hakuna wa kuhoji?
Mna hamu ya...
Kwa kweli namna katiba inavyovurugwa ni wazi kabisa Chama cha Mapinduzi kimeshaivuruga nchi na sasa, na sasa kila mmoja anaongoza kivyakevyake, msemo wa Kiswahili maarufu ule usemao mwenye nguvu...
Ni wazi kwamba kila mtu anamkumbuka mwendazake kwa mambo mbali mbali (legacy) aliyofanya wakati wa uhai na uongozi wake. Miongoni mwa legacy hizo ni hizi hapa kwa ufupi
1. Kukandamiza demokrasia...
Ni miaka kumi sasa tangu ututoke mzee nnauye. Mapenzi yako yaliyotukuka kwa nchi yako yataendelea kukumbukwa milele. Ulikuwa amana ya Mungu kwa familia yako na taifa zima kiujumla, leo Mungu...
Tupo kwenye zama mpya na kila zama na style yake.
Kwa hivi sasa wananchi wana matumaini makubwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba atakuwa ni rais atakeyekidhi matarajio yao ya maendeleo lakini...
Kumetokea wimbi la viongozi hasa wanaowinda vyeo serikalini kujinasibu na kutaka kuwaaminisha Watanzania kwamba wapo tayari kufuata nyayo za mwendazake. Kiukweli bila chembe ya unafiki hizo ni...
Demokrasia katika nchi nyingi za Afrika imekuwa ikilegalega kutokana na Sheria ambazo Bunge linatakiwa kumtii Rais hali inayopelekea Marais kutengua Katiba na kujiongezea muda wa kukaa madarakani...
JF,
Hakika jabari limeanguka!
Hayati Magufuli amefanya mengi ya msingi, maendeleo na ameacha alama katika taifa hili.
Rais wa wanyonge atakumbukwa kwa mengi mazuri tupu ndani ya nchi, Afrika na...
Ni bora nchi ikaongozwa na dikteta mwenye uchungu na nchi yake,kuliko Raisi mwenye sura ya upole lakini hana uchungu na nchi yake pamoja na watu wake.
Kiongozi asie na uchungu na nchi, hatajali...
Wakuu natumai mmeshinda salama, najuwa wengi mko busy na mchakato mzima wa VP na mstakabali wa Taifa letu. Ila ni pendekezo tu kwanini vyombo vya habari kama TBC kwa kipindi hichi cha Maombolezo...
Na declare interest, Mimi binafsi namkubali Sana January, Sana Sana.
Ila naanza kupata mashaka kuwa pengine Kuna namba, nguvu kubwa inatumika. Ni kiongozi mzuri, ila mbona Kama nguvu inakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.