WAGOMBEA saba vya vyama vya Siasa walioshiriki kwenye uchaguzi mdogo nafasi ya Uwakilishi Jimbo la Pandani Kisiwani Pemba wamekusudia kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi wakidai kwamba...
Hii sio kawaida kabisa katibu mkuu kiongozi kuhudumu kwa muda wa mwezi mmoja tu.
Japokuwa aliyemteua aliaga dunia kwa mapenzi ya Mungu hii sio kawaida, ni sawa na mtu alikuwa anaviziwa itokee...
Salaam
Nimeipenda Kauli Mbiu Mpya ya Serikali ya Awamu ya Sita "Zege Halilali"
Hii Kauli Mbiu inasistiza uharaka wa kutekeleza jambo, linalowezekana Leo lisingoje Kesho.
Hii itakua Chachu kwa...
Mshairi mwandamizi na mbobezi, Mohammed K. Ghassani, katika Diwani yake iitwayo KURASA MPYA ukurasa wa 7, ni kama vile anamhakikishia Rais wa Awamu ya 6, Samia Suluhu Hassan kuwa hakika...
Liberata Mulamula is a Tanzanian diplomat presently serving as Permanent Secretary at the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation since May 2015. Prior to this she was the...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe amesema, aliyekuwa Rais Hayati John Magufuli na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan walinadi maendeleo "hawakuahidi Katiba mpya, msitake kumtoa Rais wetu...
Huyu Bwana ni mchapakazi mzuri sana.
Alikuwa Dar-es Salaam(sikumbuki Halmashauri gani), Akahamishiwa Singida kuwa Katibu tawala wa Mkoa then akaenda Morogoro.
Mwaka jana aliteuliwa kuwa k/katibu...
Dodoma. Waziri wa Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika amesema kazi kubwa ya usalama wa taifa ni kukusanya habari na kuishauri serikali na wala si kukamata watu kwa...
Mbona sioni manji wala Quality Company humu? naona mabank tu na Kinondoni manispaa, Je manji anaingia vipi humu?
The proposed development that will run from the Lighthouse to the Sea Cliff...
Nnilikuwa najiuliza hili swali nikawa sina uhakika, ila kwa sasa kutokana na mambo yanavyoenda inaonekana wazi kuwa huyu mama atakuwa Rais kwa muhula mmoja tu.
Kwanza kabisa siasa sio Sayansi...
Juzi Mhe. J.Kikwete alimteua H.Katanga kuwa mtendaji mkuu wa idara ya mahakama nchini kutoka kuwa Katibu mkuu TAMISEMI, je uteuzi huu ni kushushwa cheo,kupanda au ni cheo sawa?
Nawaombeni...
Inaonekana Mkapa na JK walikuwa na mawazo tofauti on this issue. The rest ndio hiyo habari ya kuchukuliwa Kigamboni. Najiuliza ilikuwaje Mkapa alikuwa na uwezo wa kuwatolea nje hawa waamerika...
Ni Uteuzi uliotangazwa dakika chache zilizopita
TAARIFAKWA VYOMBO VYA HABARI
Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameteuaWakurugenzi wapya tisa wa Wizara ya...
Baada ya kumbishia sana Zakumi kuhusu dhana ya William E. B. Du Bois kuhusu Moja ya Kumi wenye Talanta sasa nimeongoka. Nimeitafakari sana. Nimeijadili sana. Nimeihoji sana. Sasa nakubali kabisa...
Ni katika kuwatia moyo makada wa CCM ndugu zangu January Makamba, Dkt. Nchimbi na Mwigulu Nchemba kwamba wawe na subra nafasi bado zipo.
Bado kuna nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM iko wazi...
Nimesoma andiko la TLS, kwa heshima zote kwa chombo chetu hiki kilichopewa mamlaka kisheria, Nimeshtuka sana, I wish to say,
Kwanza KATIBA HAIJAVUNJWA KWA MHE RAIS SAMIA SULUHU kuapa, na wala...
Ndugu watanzania tujifunze kusema ukweli hasa linapokuja suala linalokusa watu masikini. Ukweli ni kuwa wanaonewa sana na wataendelea kuonewa labda tu kama tutabadilika.
Viongozi wengi...
Waziri wa fedha Dr Mpango amesema nusu ya wabunge hawajalipwa mshahara wa mwezi March 2021.
Ndugu Mpango amesema amekuwa akifuatilia huku na kule kuhakikisha wabunge wanalipwa.
Kwa sasa Dkt...
DKT. NDUGULILE ATOA MAELEKEZO JUU YA KUBORESHA MIFUMO YA TEHAMA NCHINI
Na Faraja Mpina, WMTH, Dodoma
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile ametoa maelekezo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.