Mh Rais tuna matarajio makubwa kutoka kwako,tuna imani hutataka watu wanyanyaswe au kunyimwa haki ya kuishi bila kufuata sheria za vyombo vya dola
Tunaomba uunde tume ndogo ya kiuchunguzi...
Asalaam Aleykum ndugu zangu...!
Natumaini ni siku nyingine tena tumeamka tukiwa na afya tele Asante nyingi kwake Mola muumba wa mbingu na ardhi.
Siku ya leo nina ushauri mfupi kwa Rais Mama...
Nyie "Tibisii" nisikilizeni niwasaidie. Acheni kumuelekeza Mama Samia njia ya kupita. Hoja zenu kila siku ni "mama Samia avae viatu vya Magufuli, mama Samia apite njia ya Magufuli, mama Samia...
Ndani ya muungano wa EAC nchi ya Kenya imekuwa mstari wa mbele katika kuleta chokochoko za hapa na pale, hasa ikiichokonoa Tanzania mara kwa mara. Ingawa hivyo, Rais wa Kenya Hon Uhuru Kenyatta...
Wakuu habari zenu,
R.I.P jemedali na mbabe wa vita JPM.
Kumekuwa na habari zikizunguka mtandaoni siku nyingi kabla hata ya Rais kutangazwa kifo, kwamba huko benki Kuu yetu ya Taifa kuna watu...
Nimemsikia Mh Rais leo alipokua anapokea ripoti ya CAG na TAKUKURU huko chamwino Dodoma akisema amemrudisha nyumbani balozi wa Tanzania nchini Ethiopia kupisha uchunguzi wa upotevu mkubwa wa fedha...
Moja ya karata mbovu kuwahi kuchangishwa katika Siasa za Upinzani Nchini Tanzania ni kitendo cha Baadhi ya Vyama hivyo kusherehekea na kukebehi Kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Baada ya muda mfupi tutaanza kuwaona wale wote waliomba ''ukimbizi wa kisiasa'' nje ya nchi hasa Ulaya na Marekani kuanza kurudishwa kwa nguvu nchini.
Ukimbizi wa kisiasa una misingi yake na kwa...
Kitendo cha Profesa Kabudi kurudi katika wizara ya katiba na sheria, na ukizingatia Rais wa Jamuhuri ya Muungano ni Mzanzibari na marais wote yaani wa Jamuhuri na Zanzibar wote ni wa kisasa...
Waziri wa fedha aliyeweka rekodi ya kukaa kwenye uwaziri kwa kipindi chote cha miaka mitano ya rais Magufuli, wakati akihitimisha kusoma bajeti kuu ya serikali ametangaza kugombea ubunge kwenye...
Ni kawaida kila Rais mpya anapoingia madarakani kuja na kauli mbiu au falsafa yake.
Kauli mbiu hizi au falsafa ndio huonyesha dira au mwelekeo wa serikali inayokuwepo madarakani katika kuleta...
Nashindwa kuelewa huu uungaji mkono kutoka Kwa wapinzani kuunga juhudi za Chama tawala katika kulisuka Taifa letu na kuelekea Taifa lenye usawa na maendeleo ya kweli.
Nashindwa kuelewa kama kweli...
Alianza na kauli, kwa kusema chama chenye dola kushindwa kutetea dola yake ni uzembe!. Alishangaa iweje uwe na dola kisha upoteze dola.
Naam!. Kwenye uchaguzi huu tumeona alichomaanisha!. Bila...
Bashiru Ally aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi tarehe 27 February mwaka huu, leo ni siku ya 32 tangu aapishwe kuwa KMK na Hayati Dr. JPM (R.I.P).
Ametumikia nafasi hiyo kwa mwezi mmoja tu...
Katika historia ya nchi hii haijawahi kutokea Waziri Mkuu aliyeporwa mamlaka yake kama Majaliwa
Kiukweli inasikitisha na pengine inaashiria kuwa na bosi asiyeamini uongozi wa pamoja
Mara nyingi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) jana aliwasili nchini Ufaransa na kupokelewa na mwenyeji wake Waziri wa Ulaya na Mambo ya Nje wa...
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameiomba UNESCO kukitambua rasmi Kiswahili kama lugha ya mawasiliano duniani na kwamba itangaze tarehe 07 Julai ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani...
WAGOMBEA saba vya vyama vya Siasa walioshiriki kwenye uchaguzi mdogo nafasi ya Uwakilishi Jimbo la Pandani Kisiwani Pemba wamekusudia kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi wakidai kwamba...
Hii sio kawaida kabisa katibu mkuu kiongozi kuhudumu kwa muda wa mwezi mmoja tu.
Japokuwa aliyemteua aliaga dunia kwa mapenzi ya Mungu hii sio kawaida, ni sawa na mtu alikuwa anaviziwa itokee...
Salaam
Nimeipenda Kauli Mbiu Mpya ya Serikali ya Awamu ya Sita "Zege Halilali"
Hii Kauli Mbiu inasistiza uharaka wa kutekeleza jambo, linalowezekana Leo lisingoje Kesho.
Hii itakua Chachu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.