Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tukiweka itikadi pembeni, kiukweli pale bungeni simuoni mtu mwenye uwezo wa kuichambua ripoti ya CAG kama walivyokuwa Zitto Kabwe, J J Mnyika, James Mbatia na Tundu Lissu. Kuwa mwanasiasa mzuri...
106 Reactions
242 Replies
19K Views
February 7,2008, aliekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Edward Lowassa, alilazimika kujiuzulu kutokana na kashifa ya kampuni ya kufua umeme ya Richmond ambayo ilibainika kuwa ilikuwa ni kampuni...
8 Reactions
32 Replies
4K Views
Kwa kweli hali tunavyofikirishwa na majilabu ya Chama tawala kuwa wataiboresha Tanzania kuwa ya aina yake! Nashangaa sana tunaaminishwa tupo kimaendelea tupo uchumi wa kati na jana juzi tunaanza...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
CCM imemteua Dkt. Florence George Samizi kugombea Ubunge Jimbo la Muhambwe lililopo kibondo Mkoani Kigoma, baada ya kifo cha Astashasta Nditiye ambaye alikuwa mbunge mteule wa jimbo hilo. Zaidi...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Sequence of events: Suppose Kundi mojawapo katika wanaotaka nafasi hiyo wana mshikamano na Spika. Halafu mtu wao anateuliwa kuwa makamu wa rais. Bunge linampitisha kwa kauli moja, anaapishwa...
32 Reactions
167 Replies
14K Views
Kwa mfumo wa siasa za Tanzania zilipofikia kila mtu ni mahabusu au mfungwa mtarajiwa isipokuwa kwa wale wenye kinga. Naomba kwa nafasi zeni wekezeni kutengeneza mfumo wa kisheria unalazimisha...
0 Reactions
2 Replies
688 Views
Yamesemwa mengi sana baada ya ndege yetu kununuliwa mengi ya maana mengine ya kijinga lakini suala limevuka mipaka na wataalamu wa masuala ya aviation toka ulaya nao wametupa ukweli mchungu juu ya...
35 Reactions
401 Replies
44K Views
Naomba ku declare kuwa mimi ni mwana mabadiliko muumini wa haki na usawa. Tangu kuja kwa EL speed ya Chadema imepungua Sana EL alisema anataka kuintransform chadema kiwe cha kinachofanya modern...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tumekuwa na Sheria kwamba binti wa like akipata mimba akiwa masomoni basi masomi yake huishia hapo,ni muda muafaka Sasa kwa Rais wetu mpendwa kufuta sheria hii kandamizi kwa mwanamke. Nawasilisha...
6 Reactions
61 Replies
4K Views
Makamu mpya wa Rais Dkt. Mpango akiwasili kukabidhiwa ofisi na kwa maandalizi ya kuapishwa kesho. Nukuu: Aliingia bungeni tofauti na amerudi kivingine.
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari wakuu, Leo mapema kidogo, January Makamba ambae ameongea kwa niaba ya chama cha mapinduzi. Ameongea na waandishi wa habari na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo vurugu au fujo. Makamba...
0 Reactions
117 Replies
15K Views
Inabidi tupate wa kutukwamua tulipokwama kimaendeleo na msomi wa uchumi ni mtu muafaka kwa hilo Dkt. Philip Isdory Mpango mwanasiasa wa kutumaini
5 Reactions
54 Replies
8K Views
Naomba majibu Tafadhali ili kuwa na reference nzuri na ya uhakika humu jamvini. Baada ya Rais SSH kuapishwa leo je anaendelea kuongoza serikali ya awamu ya 5 au tumeingia awamu mpya ya 6...
5 Reactions
99 Replies
16K Views
Baada ya muda mrefu bila January kupigiwa pande la maana bungeni toka alipotumbuliwa, leo amekuwa mmoja ya wabunge waliompongeza Mpango na baada ya pongezi akaeleza pia anavyomfaham na wamefanya...
7 Reactions
27 Replies
5K Views
Kuna mambo ambayo binadamu sisi wasahaulifu sana. Wale walamba miguu waliojua kumpaka mzee mafuta kwa mgongo wa chupa walijawa unafki na hawa ndio waliokua wakimwibia na kumdanganya. Sitaki...
10 Reactions
48 Replies
5K Views
Kumbukumbu zangu zinaniambia Hayati Magufuli tangu alipoapishwa Dodoma Dec 2020 alihamia CHATO na kuishi huko na kusaini mikataba ya SGR na shughuli nyingine hadi alipoanza ziara katika mkoa wa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ni katika mjadala wa waandishi kwenye kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari. Pascal anasema bajeti ya nchi inatakiwa kuwasilishwa kitaaluma lakini juzi waziri wa fedha Dr Mpango ametumia muda...
25 Reactions
122 Replies
11K Views
Nimeona watu wakiona ahueni baada ya Mama kukalia kiti kwangu mimi CCM na serikali yake ni ileile tofauti ni namana mkalia kiti anavyoimbisha wasikilizaji. Mama Samia kapokea ripoti ya TAKUKURU...
3 Reactions
9 Replies
825 Views
Ikimpendeza Mheshimiwa Rais, anaweza kumteua Prof. Assad kuwa Mbunge na kisha kuteuliwa Waziri wa Fedha na Mipango. Sina shaka na utendaji wake hasa akiwa CAG, alisimama imara hali iliyompelekea...
9 Reactions
21 Replies
3K Views
Nianze kwa kusema vita dhidi ya Mabeberu sio vita lelemama, inahitaji vijana wa kike na wakiume walioiva na kujitoa kwa mioyo yao hata mauti ili kuipigania nchi yao. Kushindana na watu wenye...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom