Dokta Bashiru alivuliwa ubalozi?

Dokta Bashiru alivuliwa ubalozi?

Cosovo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
667
Reaction score
1,821
Hayati alimteua na kumpa ubalozi lakini baada ya utawala mpya ametenguliwa kutoka katibu mkuu kiongozi

Je amevuliwa na ubalozi au bado ni. Balozi?

Wenye uelewa
 
Eti ni balozi mstaafu kkkk

Mama ilibidi ampeleke Sudan Kusini akawe balozi wetu kule sio kumpa ubunge ale 13M kwa mwezi.
 
Hayati alimteua na kumpa ubalozi lakini baada ya utawala mpya ametenguliwa kutoka katibu mkuu kiongozi

Je amevuliwa na ubalozi au bado ni. Balozi?

Wenye uelewa
Bado ni balozi japo ubalozi wenyewe hauna chochote kwani hata balozi wa nyumba kumi ni balozi tu.
 
Back
Top Bottom