Licha ya Agizo la TCRA,Bei ya mabando imebaki vilevile juu

karim mtila

Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
16
Reaction score
34
Licha ya taarifa ya TCRA kusitisha bei mpya ya mabando bado hali huku mtaani ipo vilevile.

Bei zimebaki kuwa zile zile ambazo tulizilalamikia.Nashindwa kuelewa ile taarifa ilikuwa ya kutuliza hali ya hewa au Mitandao imegoma kurudisha mabando ya zamani?.

TCRA tunaomba ufafanuzi mwingine please.
 
Tuuze nchi tugawane hela tu! Wanashindwa kukiri tu kuwa mambo yamewashinda!
 
Tuwape saa 24 then tuwachukue kipimo cha mabega tuone kama bado wanazo sifa za kuendelea kufanya kazi na serikali ya Mama
 
Licha ya taarifa ya TCRA kusitisha bei mpya ya mabando bado hali huku mtaani ipo vilevile.

Bei zimebaki kuwa zile zile ambazo tulizilalamikia.Nashindwa kuelewa ile taarifa ilikuwa ya kutuliza hali ya hewa au Mitandao imegoma kurudisha mabando ya zamani?.

TCRA tunaomba ufafanuzi mwingine please.

TCRA "labda" wameahidiwa cha juu, maana yake hali hii si bure.
 
Licha ya taarifa ya TCRA kusitisha bei mpya ya mabando bado hali huku mtaani ipo vilevile.

Bei zimebaki kuwa zile zile ambazo tulizilalamikia.Nashindwa kuelewa ile taarifa ilikuwa ya kutuliza hali ya hewa au Mitandao imegoma kurudisha mabando ya zamani?.

TCRA tunaomba ufafanuzi mwingine please.
Taarifa imepelekwa mitandaonj kisiasa... Wao wanasubiri taarifa rasmi ya maandishi, hawafanyi mambo kienyeji
 
Kama mwanzo walifuata utaratibu kubadirisha unadhani wanaweza kufanyia kazi bila ofisho dokumenti?
 
Back
Top Bottom