Rais Samia ni Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokea Zanzibar

Double Elephants

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
522
464
Rais Samia ni Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokea Zanzibar - Fatma Karume akizungumza na DW leo tarehe 3/4/2021.

Nini maoni yako.

#MitanoTena
 
Mzee Mwinyi aliondoka madarakani zaidi ya miaka 25 iliyopita, inaonekana watu hawakukubuki utawala wake.
 
Kasema ukweli maana anajua vyema asili ya babu wa kuchekesha wajukuu zake.

YEYE BABU YAKE ABEID KARUME ALITOKEA MALAWI. NDIO MAANA Baba yake MZAZI NA MDOGO WAKE AMANI WAKAPELEKWA KUSOMA MALAWI!!! AU FATMA aka SHANGAZI HALIJUI HILO? BIBI YAKO YUKO HAI MUULIZE.
 
Rais Samia ni Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokea Zanzibar - Fatma Karume akizungumza na DW leo tarehe 3/4/2021.

Nini maoni yako.

#MitanoTena
Pengine alikusudia raisi wa kwanza mwanamke wa tanzania kutokea zanzibar
 
Wazanzibar asili kabisa ni wapi ? Nje ya muungano hakuna Zanzibar kuna zanz bara na Pemba ...tafakari
 
Back
Top Bottom