Salamu kutoka kwa rais wetu, mama mfariji wa taifa

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Nawatakia Watanzania wote Pasaka njema, tuadhimishe ufufuko wa Yesu Kristo huku tukiliombea Taifa letu la Tanzania kudumisha amani, upendo na mshikamano. Tuendeleze jitihada za kuijenga nchi yetu kwa kuchapa kazi kwa juhudi na maarifa.

Yesu amefufuka, Haleluya Haleluya.

1617511110800.png
 
Nawatakia watanzania wote Pasaka njema, tuadhimishe ufufuko wa Yesu Kristo huku tukiliombea Taifa letu la Tanzania kudumisha amani, upendo na mshikamano. Tuendeleze jitihada za kuijenga nchi yetu kwa kuchapa kazi kwa juhudi na maarifa.

Yesu amefufuka, Haleluya Haleluya.
Mwanakondoo ameshinda, tumfate! Ameen
 
Back
Top Bottom