Uchaguzi 2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,487
2,344
Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?

Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa

Laana imeanza kuwaingia kichwani. Hata kwa Pharaoh ilikuwa hivi hivi. Mungu alimpa kiburi na akumshupaza shingo ili kumwangusha kiulaini. Mfalme Nebukadneza naye hivyo hivyo. Neno la Mungu haliongopi. Anguko la CCM haliko mbali.

Yaani CCM mmefika hatua hii? Kwamba watu wapende, wasipende, Mungu apende, asipende...! Hata tukimpiga kura Rungwe, bado NEC itawatangaza washindi? Ukisikia masikio kuzidi kichwa ndio haya sasa.
 
Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?

Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
View attachment 1595383
Hakusema "Mungu akipenda au asipende" hapo umetia chumvi japo kuwa sisapoti alichosema, ila na wewe sikusapoti kwa kuongeza chumvi kwenye maneno yake.
 
Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?

Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
View attachment 1595383
Aliteleza tu msameheni - siku zote kufikiria kabla ya kutenda/ kutamka huwa ni jambo zuri

Hata hivyo ni wazi kuwa CCM lazima ishinde
 
Maneno ya kusema Ushindi hautegemei Mung kupenda unayaelewaje?a
Unakubali kuwa kaongeza maneno mtoa mada ?

Ninachozungumzia mimi ni mtoa mada kuongeza maneno.

Haikutosha kumnukuu alivyosema huyo mama pekee ?
 
Hakuteleza kitu chohocte. Amerudia rudia hayo maneno mwanzo hadi mwisho. Na hao wajinga wenzie nao wakaitikia kibwagizo!

Ni kiburi cha Pharaoh hicho. Na anaongelea wizi na unyang'anyi wa kura.

Ni kuburi hicho hicho ambacho Mbowe alikutana nacho juzi kule Hai.
Aliteleza tu msameheni - siku zote kufikiria kabla ya kutenda/ kutamka huwa ni jambo zuri

Hata hivyo ni wazi kuwa CCM lazima ishinde
 
Hakuteleza kitu chohocte. Amerudia rudia hayo maneno mwanzo hadi mwisho. Na hao wajinga wenzie nao wakaitikia kibwagizo! Ni kuburi cha Pharaoh hicho. Na anaongelea wizi na unyang'anyi wa kura. Ni kuburi hicho hicho ambacho Mbowe alikutana nacho juzi kule Hai.
Hawa jamaa wanajua wafanyacho
 
Ila leo ngoja nimsifu Magufyuli kidogo. Siku zote amekuwa akisema msema ukweli ni mpenzi wa Mungu ila hajawahi kusema yeye anawapenda wasema ukweli hata siku moja
 
Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?

Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa

Huyu ndiyo Mwalimu wa Darasa LA Kwanza?CCM yenye ofisi nchi nzima imegeuza darasa kuwa ukumbi wa mikutano?Hao wahudhuriaji waliwezaje kukalia madawati ya watoto wa STD 1?
 
Hapo ni uoga wa 'reaction' ya Jiwe ndo unafanya mpaka mtu anakosa lugha sahihi! 😅
Jiwe anaogopwa na CCM wenzake Kama mfalme Huhi'huhihuhi alivyokuwa anaogopwa na Wagagagigikoko, na wala hawampendi!
WAGAGAGIGIKOKO MMWAGENI HUHIHUHIHUHI BHANA!
😅
👊 ✌️✌️✌️💥
 
Back
Top Bottom