Suphian: Nimehamia CCM kwasababu ya uimara wa taasisi

Suphian: Nimehamia CCM kwasababu ya uimara wa taasisi

Suphian Juma

Senior Member
Joined
Apr 2, 2019
Posts
140
Reaction score
579
Wanaonipigia kelele na wenye mawazo potofu ya kwamba nimehamia CCM kwasababu ya Mtu na kwamba najutia maamuzi yangu;

Sikieni: Kilichonivutia kuingia CCM ni UIMARA WA TAASISI chini ya utendaji mzuri wa Taasisi za Chama na Urais/Serikali zilizoongozwa na Jemedari Magufuli na wasaidizi wake imara akina Mama Samia.

TAASISI ZOTE BADO ZIPO HAI, Legacy yake JPM ipo hai; na kikubwa zaidi tuna Rais makini Mama Samia anayebeba matumaini makubwa ya Watanzania.

NAJIVUNIA NA NITAENDELEA KUJIVUNIA CCM NA SERIKALI ZAKE ambazo zinaendelea kuwaletea WATANZANIA WOTE maendeleo yasiyomithilika.

RIP Magufuli, God bless Rais Samia na Tanzania.

Suphian.
IMG_20210324_133201_197.jpg
IMG_20210319_174014.jpg
 
Hamia tu mkuu huku upinzani nako viongozi walioko hawaoneshi matumaini na kuaminiwa. Ona mpaka kwenye msiba bado tu wanamdhihaki mtu ameshakufa. Hatari sana hawa jamaa

Upinzani wote Mbowe tu ndio anaonekana hekima zipo. Hawa wengine ni majanga aisee.

Kwa haya tulioyashuhudia tubaki na Ccm tu
 
Vijana wanaokwenda na biti za upepo wa kisulisuli!! ukivumia kushoto haoooo, ukivumia kulia haoooo!! Haya mzee karibu sana CCM chama kubwa!!
 
Wewe unatapatapa Sana. Na kashfa ya ulevi iliyopewa hujasafisha! Unafikiri huko CCM nani atakuamini mlevi wewe?

Huwezi sema, lakini umehamia njaa, uteuzi. Bila shaka utapunguza kuzurura jimboni kwa Kingu hasa Minyughee
 
ili iwe taasisi imara zaidi inaitaji wakosoaji pia sasa hizi hoja zenu zinakosa mantiki
 
Musiba kupitia gazeti la Tanzanite alikuita wewe ni shoga na hujawahi kukana kwamba wewe ni shoga haya tuambie leo wewe ni shoga kweli?

Maana musiba ni CCM mwenzio huenda ana uhakika wewe ni shoga

Ukijibu chochote unamwambia nini mwana CCM mwenzio Musiba
 
Back
Top Bottom