Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,459
- 29,153
Katika siku za karibuni baada ya kuondokewa na mpendwa wetu Dk Magufuli, TLS walitoa waraka wa kumtaka Mheshimiwa Samia aunde Baraza jipya la mawaziri ili wote waliopo waape mbele yake.
Hii Ina maana pamoja na waziri mkuu pia litakiwa hata Kama ataendelea huyu huyu kwanza asiwepo Kisha ndo achaguliwe upya. Na katika uchaguzi wa mawaziri katiba inamwambia KWA KUSHIRIKIANA NA WAZIRI MKUU ndio atateua mawaziri.
Lakini kwa nilichokiona jana ilikuwa tu kuziba Viraka na kufanya mabadiliko madogo madogo tu.
Naomba wataalam mtusaidie hapa.
Cc Petro E. Mselewa Zitto