Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,597
- 215,270
Kagame ndiye alikuwa rafiki wa karibu, baada ya kuapishwa Rais Magufuli nchi yake ya kwanza kuitembelea ilikuwa Rwanda na alifanyiwa dhifa ya kitaifa. Baada ya hapo Rais Kagame alikuwa mgeni wetu wa mara kwa mara.
Rais Magufuli aliwahi kutamka mbele ya Kagame kuwa yeye ndiye aliyemshauri manunuzi ya ndege.
Huyu mgeni wetu wa mara kwa mara ameshindwa kuja kulia na sisi msiba wa Mzee Mkapa. Ingawa alituma salamu lakini kwetu sisi Kagame alikuwa the next door neighbour hakuwa mtu wa kutuma salamu bila hata mwakilishi.