Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ujumbe wangu binafsi na maoni yangu binafsi Mimi Mtanzania mwenzenu kwenu enyi Watanzania wenzetu watu wa Chato. Mimi binafsi Sina chuki Wala tatizo kuhusu nyinyi kuletewa maendeleo, kwani ni...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Ofisi ya Mbunge Jimbo la Ubungo itakua inatoa taarifa kila wiki kupitia mitandao ya kijamii kuhusu taarifa ya utekezaji wa ahadi za mbunge wa ubungo, wakati huo huo ofisi inaendelea kuandaa kitabu...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa tangazo la haki za binadamu la umoja wa mataifa lililotolewa tarehe 12/10/1949, ibara ya 7, linaeleza haki mbalimbali za watu kutoa maoni, kutafutana kutoa habari, kuandamana pamoja...
0 Reactions
2 Replies
792 Views
Si Kikwete wala CCM waliowahi kuamini katika kuandikwa upya Katiba yetu. Hivyo wao kuzalisha Tume ya Katiba IKULU badala ya BUNGENI tayari ni safari ya maafa kwa taifa letu kama washikadau wote wa...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa Cuf na bingwa wa masuala ya uchumi duniani ameshauri kuwa Rais wa JMT samia na makamu wake Dk Mpango wawe wanawapa mkataba wa mwaka mmoja mwaziri ili anayeshindwa kazi atumbuliwe...
9 Reactions
47 Replies
4K Views
Kwako Mheshimiwa, Pole kwa majukumu magumu uliyonayo katika kuhakikisha tunapiga hatua. Pia nikupongeze kwakuonesha kwamba wewe ni msikivu hasa kwa uteuzi na utenguzi wa kiongozi wa TPDC. Lengo...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Sijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.
53 Reactions
151 Replies
17K Views
Makamu wa Rais Dr Mpango amesema TRA wanapaswa kuwalinda wafanyabiashara na kuhakikisha biashara zao zinagrow badala ya kuwababaisha na kuwavuruga. Dr Mpango ameahidi kufuatilia kwa karibu ustawi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akitabasamu na Mtoto Gilbert Mezi (11) anayelekewa na kutunzwa kwenye kituo cha Huruma Missionary Sisters of Charity...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu. Ni suala la muda tu ila...
6 Reactions
64 Replies
5K Views
Hii nchi ina maadui wengi sana wa kiuchumi na kisiasa ambao hawaitakii mema. Hivyo serikali iwe makini. Hizi ni nyakati mbaya sana maana mitandao inatumika vibaya na mara nyingi hutumika hata...
22 Reactions
258 Replies
20K Views
Dikteta anaweza ongoza, Mzembe anaweza kuongoza Asiejali anaweza kuongoza nk, Nadhani uhuru wa kupeana mezani yaweza kua sababu, viongozi wanajiona kama malaika, wakishafanikiwa wao wengine hawana...
0 Reactions
4 Replies
592 Views
Kwa jicho langu la tatu, Naona kuna kuvunjika kwa Moyo kwa Mawaziri wa Mh Rais Samia Suluhu Hasan. Naam naliona hili, naliona na tena naliona, wanaanza kukata tamaa hasa wale ambao waliamini...
12 Reactions
61 Replies
8K Views
Maandalizi kwa ajiri ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Sgr kati ya Mwanza na Isaka yamekamilika. Na jiwe la msingi litawekwa wakati wowote na rais wa JMT, SSH. Ziara ya kukagua maandalizi...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Nafikiri sote tunakumbuka kilichofanyika baada ya kupanda kwa gharama za mawasiliano, tulilalamika waziri akijitokeza na kutulaghai yuko pamoja na sisi gharama zitashushwa ifikapo mwezi April cha...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Unaweza kudhani uliyenae (tena Msaidizi wako) anakuunga mkono katika Maamuzi yako ya Kipuuzi kumbe Yeye Moyoni mwake si anakusanifu bali pia anakuona bonge la Juha. Pia nimegundua ya kwamba Watu...
8 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna taarifa inayosambaa mitandaoni na inayodaiwa ni kutoka Hospital ya Muhimbili wakimjibu na kumpinga Kigwangala kuhusu wazo lake la kutaka mashine ya kupiga nyungu iondolewe. My take: Kama hio...
5 Reactions
76 Replies
9K Views
Habari Tanzania Mwaka 2015 katika harakati za Ccm kuwania kuongoza nchi kwa awamu ya tano chini ya John Magufuli walikuja na sera yao kuu ya Tanzania ya viwanda ikiwa na kauli mbiu ya hapa kazi tu...
23 Reactions
142 Replies
12K Views
Rais Magufuli anazindua safari za treni ya abiria Jijini Arusha baada ya huduma hiyo kusimama kwa zaidi ya miaka 30. Abiria 50,579 wamesafiri na treni Dar- Moshi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Katika diwani yake ya "Kalamu ya Mapinduzi" mshairi mbobezi, mwandishi wa habari na mtangazaji, Mohammedi K. Ghassani anaandika hivi kuhusu ahadi za jukwaani: "Ahadi za jukwaani, ni kama za...
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Back
Top Bottom