Miaka sita (6) iliyopita mfanyabiashara nguli wa Tanzania marehemu Ali Mufuluki katika kipindi cha TED talk show, alikuja na mada fikirishi ikiwa na title ya Afrika is really rising...
Akihojiwa na Salama Jabir mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale aka Babu Tale alisema yeye ni darasa la saba lakini alijiendeleza kidogo
Babu Tale alisema alipokutana na hayati...
Unajua nimekuwa nikatafakari sana mashambulizi yetu hapa. Halafu yule mama Anne Malecela naye amenifanya nizame kwenye fikra zaidi.
Kwa kweli tumekuwa mahodari sana wa kuonesha matatizo yetu na...
Tangu utawala wa Mh. Hayati Dr. John Magufuli uingie mwaka 2015 huo ndio ukawa mwisho wa ajira kwa walimu wa Arts.
Kwa heshima kubwa na taadhima ninakuomba Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Muda ni wakati mzuri sana, na katika vitu tunavyotakiwa kucheza navyo kwa Akili ni Muda,
Muda unaweza kukupandisha au kukushusha kwa sekunde tu "Refer kwa Bashiru"
Ile Praise team iliyokuwa...
TUZO MAALUMU YA WANANCHI ITOLEWE KWA RAIS MAGUFULI KWA KUTETEA WALE WALIO " WANYONGE"
Hakuna ubishi kuwa Rais Magufuli ameamua kujitoa kwa dhati kuwatetea wale walio "Wanyonge" na amethibitisha...
Taifa letu lipo awamu ya sita sasa.
Kila awamu ilifanya mengi mazuri na changamoto zake.
Awamu ya 1-3 ziliweka misingi imara zilizofuata zilipaswa kuonyesha ustawi mkubwa zaidi
Awamu ya 4 ya JK...
Kwa jinsi navyoona mwelekeo wa serikali ya Mheshimiwa. Mama Samia Suluhu Hassan ni wazi anataka kufanya mabadiliko ya kiuchumi, sasa tumsaidie ili tuwezekuwa na diplomasia ya uchumi wa kweli na...
Asalaam aleykum!
Kwa takribani miongo minne (4) BAKWATA ilikuwa tete inatetemeka.Natambua kazi nzuri iliyofanywa na viongozi waliomtangulia marehemu Dr.Magufuli.
Itoshe tu kusema takribani miaka...
Nimesoma humu JF kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James ameomba radhi kwa mambo yaliyofanywa na kuomba 'maridhiano' ya kitaifa ili tusonge mbele pamoja chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake.
Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual...
Wakati nasoma chuo kikuu cha Dar es salaam enzi zile Hayati Dr.
Magufuli akimalizia masomo yake ya Shahada ya Uzamivu, nilimtambua Dkt Bashiru kama Msomi, Mzalendo, Mjamaa na mpenda mabadiliko ya...
Kila kitabu na zama zake ndio maana tulio wengi tunaona ni vema Rais SSH akateua baraza lake la mawaziri watakaoendana na maono na kasi yake.
Fikiria utendaji wa mawaziri Jaffo na Awesu ambao...
"Tuanzeni Ukurasa mpya wa Kitabu, tushikamane, tudumishe Umoja wetu na mengineyo tutayarekebisha na Kurekebishana taratibu "
Kama uliyoyasema haya umeyadhamiria na yametoka Moyoni mwako kabisa...
Mheshimiwa Rais, wewe ni mama wa Taifa, sisi tumeona mengi mabovu katika utawala wa marehemu.
Watanzania ni kama watua zigo la misumari, hivyo Wanamatumaini makubwa na wewe kwenye maisha yao...
Wadau nachukua nafasi hii kuwatakia heri ya Pasaka.
Kama mnavyojua jumatano iliyopita tarehe 31/03/2021 wakati wa kumwapisha makamu wa Rais, mh Rais alitangaza baraza jipya la mawaziri, lakini...
Ibara ya 54(2) imetanabaisha wazi kuwa baraza la mawaziri ndio kitakuwa chombo kikuu cha kutoa ushauri kwa rais ili aweze kutekeleza majukumu yake.
Hata kabla ya kumaliza maombolezo tangu afariki...
Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za kuwatakia watanzania wote Pasaka Njema.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu hizo za...
1. Nafasi za kazi za kitaalam zitangazwe, sifa zinazoendana na aina ya kazi husika ziainishwe, na kila anayedhani ana sifa aombe.
2. Mchujo ufanywe na jopo maalum lenye mchanganyiko wa wataalam...
Nimesoma hii kitu ya Mwalimu Richard Yesaya Shukia, Shule Kuu ya Elimu, Chuo Kikuu Dar es Salaam imenitafakarisha sana
1. Niungane na watanzania wenzangu kwanza; kukupa pole kwa kuondokewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.