Ujumbe na maoni yangu mimi Mtanzania mwenzenu kwenu ninyi watu wa Chato

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,152
33,350
Ujumbe wangu binafsi na maoni yangu binafsi Mimi Mtanzania mwenzenu kwenu enyi Watanzania wenzetu watu wa Chato.

Mimi binafsi Sina chuki Wala tatizo kuhusu nyinyi kuletewa maendeleo, kwani ni haki yenu na mnastahili Kama wanavyostahili Maeneo mengine ya Tanzania, kwa sababu nyie pia ni sehemu ya Tanzania.

Tatizo lililopo ni aina ya maendeleo na vipaumbele vya maendeleo vilivyokua vinaletwa Chato Ni vile vilistahili kuja Chato na vingine Ni vikubwa mno kulingana na stahili ya eneo la Chato.

Naamini na nadhani walalamikaji wengi walikua wanalenga Hilo.

Mfano uwanja wa ndege wenye hadhi ya kimataifa.

Je, ulistahili kujengwa Chato au makao make ya Mkoa?ambapo Ni Geita?

Kwangu Mimi nisingekua na tatizo Kama Chato kunepelekwa maji Safi na salama,umeme mpaka maporini,Barbara za lami Hadi mashambani, shule zenye madarasa ya kutosha, shule Bora zenye vifaa vya kisasa, umeme kila darasa, nyumba za walimu bora kabisa usafiri wa kuwapeleka watoto shuleni na kurudi wa shule za umma, hospitali bora na zahanati bora kabisa, vyuo vya ngazi zote levo awali, viwanda vidogovidogo kwa ajili ya kutumia malighafi zinazopatika Chato n.k.

Hapa nisingona ajabu kwa sababu hayo ndio maendeleo yanyopelekwa sehemu fulani na Mbunge wa eneo fulani.

Sasa kelele za wengi ni kuona miradi mikubwa ya mlengo wa kitaifa inayostahili kupelekwa kwenye mikoa inapelekwa kwenye kitongoji.

Hapa ukiangalia kwa jicho la tatu utaona miradi hiyo nia yake sii kuwanufaisha watu wa Chato bali nia ni kumnufaisha aliyeipeleka na ama familia yake ama na wapambe wake.

Kwa mfano: Uwanja wa ndege wa kimataifa kwa vyovyote vile lazima kuwe Kuna shughuli za kuvutia watu wanmataifa kuja Chato,je Kuna Nini kitawaleta Chato?

Hivyo lazima kuwe na Mahoteli,je yatajengwa na nani? Familia au wapambe.

Inawezekana Bingwa alijua ataondoa ukomo wa kutawala hivyo akaona ajenge Uwanja ili marafiki zake wakija wafikie Hotel za wapambe au familia.

Kama ni kweli Uwanja wa kisasa ulikuwa unakusudiwa kujengwa malengo ni hayohayo tu wageni wakija wataleta fedha kwa hoteli za wapambe.

Kwa kifupi miradi hi ilistahili kujengwa kwenye makao makuu ya mikoa na mikoa yenye idadi ya wageni wengi kutoka nje.Sio kitongoji.

Hata hivyo sio nynyi tu mmelalamikiwa kumbuka Kuna watu walipinga ujenzi wa Bandari Bagamoyo.

Uhamishaji wa wanyama,hapa Bingwa alilenga vilevile pengine marafiki zake na watalii watakwenda Chato hivyo kuna aina ya uwekezaji katika sekta ya utalii ingenufaisha familia na wapambe, of course na raia wachache.

Haya machache kwangu na nadhani ndio yamepigiwa kelele na wananchi wengi, lakini kiuhalisia sidhani kama kuna Mtanzania hapendi maendeleo yenye uwiano kwa mini mingine hususani Chato.

Nchi kwa kawaida ina vipaumbele vya Maeneo ya kupeleka maendeleo na Aina ya maendeleo.

Sio kila kiongozi aige maamuzi ya kiongozi aliyepita lakini Nyerere, Mwinyi, Mkapa na hata kikwete hawakupeleka miradi iliyostahili kupelekwa mikoa ya kimkakati Kwenye vitongoji vyao.

Mkapa alijenga daraja kubwa la kwenda kusini la Mkapa hakuna aliepiga kelele kwa sababu lilikua ni muhimu kwaTaifa.

Kwa kifupi Bingwa alikua ana malengo binafsi, Chato inastahili maendeleo lakini Miradi hiyo mikubwa haikua saizi yake.

Mimi Kama Mtanzania mwenzenu naamini Watanzania wote hawawachukii nyinyi Watanzania wenzetu wa Chato, bali walichukia utaratibu wa vipaumbele vya maendeleo uliofanywa na Bingwa.

Mimi binafsi na nadhani Watanzania wengi hawamchukii Bingwa Bali Maamuzi ya Bingwa.

Watu wa Chato ni ndugu zetu tutaendelea kuwapenda.
 
Ninakuunga mkono asilimia 100. Na sasa kuna ile dhana ya kuenzi maono ya kiongozi aliyetutoka. Bahati nzuri Rais Samia amesisitiza kuzingatia "vigezo" na tukumbuke serikali ya awamu ya 5 ilifutilia mbali mradi wa bandari ya bagamoyo iliyobuniwa na Rais Kikwete kwa kukosa vigezo. Miradi ya maendeleo kwa taifa ni sharti izingatie maslahi mapana ya nchi, uwiano. Haiingii akilini kwa wilaya ya chato yenye mapato pungufu ya tsh. billion 3 kwa mwaka kutengewa zaidi ya tshs. billion 120 za miradi ya maendeleo. Thats neither right nor fair.
 
Back
Top Bottom