Tahadhima kwenu wanabodi
Naomba kutumia sikukuu hii ya Mapinduzi kumpa ushauri usiolipiwa kwa kijana Waziri wa Habari, Vijana, Michezo na Utamaduni, Innocent Lugha Bashungwa kama anataka...
KWAHILI, HERI JAMES NI SHUJAA
Kumeibuka minong'ono lukuki huku wanasiasa na wanazuoni wakitofautiana mtazamo kufuatia Kiongozi wa Vijana wa CCM Heri James kuomba radhi kwa umma akitaka...
Wendawazimu huwa wana kawaida moja!. Kurudia kitu kile kile kwa mtindo uleule wakitegemea matokeo tofauti.
Itakuwa ni ajabu sana kwa vyama vya upinzani kushiriki uchaguzi wowote kuanzia sasa na...
Habari za kushinda wakuu, najua mnaenda kunipinga kwa 91% ya ninachoongelea hapa.
Lakini itoshe kuongea na 9% itakayo nipa nguvu katika hili.
Mama Samia aliaminiwa na Magufuli hivyo akapewa...
Mzee nimekushangaa leo pale Kisarawe kwa kujisahaulisha kabisa kumtaka Jokate kuolewa kama vile ulivyowataka kina Katambi waoe ulipokuwa kule Dodoma.
Hii sawa Ng'wanangwa! Kwa takwa lile lile...
Heshima sana wanajamvi,
Msemaji/Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Mheshimiwa Gerson Msigwa hatimae kaondoka Ikulu.
Mheshimiwa Msigwa kapelekwa Idara ya Maelezo kama Mkurugenzi na Msemaji Mkuu wa...
Habari wadau..!
Leo nilikuwa na ushauri kwa serikali yetu na jeshi letu maana naona wanajipendelea sana,yani jeshi ndio linajipa peke yake jukumu la kulinda nchi wakati jukumu hilo ni la kila raia...
Viongozi wa dini hasa dini za Kikristo mnaombwa kuwakumbusha viongozi wa kisiasa kuheshimu Mimbari wakati wa ibada.
Mimbari ni sehemu ambayo Walawi wanaruhusiwa kufanya Ibada na matamko yao kama...
Awali:
Erick Kabendera mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi inaendelea leo Mahakama ya Kisutu.
Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi, Utakatishaji Fedha na...
Wakuu habari zenu nataka kwanza kuanza hapa.
Je, ni sahihi kumukosoa Rais? Kama ni sahihi nianze kwa kumkosoa mama Samia kwa machache, najua kila mtu anaona kazi anayo fanya Rais wetu. Kiukweli...
Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini.
Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa...
Umadhubuti wa Taifa unatokana na kukamilika kwa jamii. Ukamilifu wa Taifa unatokana na uwepo wa watu wenye fikra, uwezo, vipaji na weledi wa aina mbalimbali.
Kila mmoja katika mchanganyiko huo wa...
Mimi ni mtu ninayefuata falsafa ya ‘keep it simple’.
Sikuona sababu yoyote ile ya Rais Samia kulivunja baraza lote la mawaziri na kulisuka upya.
Mabadiliko madogo kama aliyoyafanya ni ya kawaida...
Hii trend ya hivi sasa ya gharama za vifurushi hatukuiona ikipigiwa kelele awamu iliyopita, lakini ninyi mlikuwa hapohapo kwenye nafasi mlizonazo Sasa.
Ukiona kelele zinakuja kwa kiasi hiki ndani...
WanaJF,
Niliposoma katiba ya Kaji waliomba ilichagiza Zaidi wateule wa Rais watokane Na mikoa yao. Hii inaleta maana kwamba Ni rahisi wananchi wa sehemu hiyo kupata mwakilishi mzuri Na Kwa kuwa...
Haya alifanya JPM najua ilikuwa ni utashi na sio sheria sasa ipitishwe rasmi.
1: Hakuna mikutano ya hadhara ya kisiasa kabla ya kampeni. Tuwaache waliochaguliwa katika maeneo yao ndio wawe...
PUMZIKA KWA AMANI MONSINYORI DEOGRATIAS HUKUMU MBIKU[emoji120][emoji120]
Wapendwa Mapadri, Mashemasi, Watawa na taifa lote la Mungu, Kristo.
Kwa masikitiko makubwa napenda kuwataarifu juu ya...
Ni kweli tupo kwenye ulimwengu wa kidigital, hivyo huwezi kuwakwepa watumiaji wa mitandao. Maana mitandao kama JF huku watu wanatiririka ukweli tofauti na kwenye magazeti.
Lakini hii sio sababu...
KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, yuko tayari kumuunga mkono Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, endapo serikali yake itahakikisha vyama vya siasa na vyombo vya habari...
Miaka sita (6) iliyopita mfanyabiashara nguli wa Tanzania marehemu Ali Mufuluki katika kipindi cha TED talk show, alikuja na mada fikirishi ikiwa na title ya Afrika is really rising...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.