Picha: Lowassa akiwa na familia yake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,651
218,131
Sijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.

No_Hate_No_Fear_on_Instagram:_“Wanaendelea_kusherehekea_Nape_ajifunze_kupitia_picha_hii.”%22_.jpg
 
Kuna kilevi kimoja hapo pembeni ya Jack Daniels kinaitwa Bombay hicho kitu hatari sanaaaa. Mzee Lowassa huyo alovaa mistari ya mix color nataka kuleta posa😂😂

Mpiga pushups kaondoka aloambiwa mgonjwa anajipongeza na kileo na pasaka hii, Labda kaitwa mapema kuongoza malaika kabla ya kuasi kama ibilisi😂😂

Mbuzibee 🐐
 
Sijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.

View attachment 1743440
Maisha ni fumbo. Mara oh Lowasa anataka afie ikulu, mara Lowasa ni mgonjwa, n.k. Pamoja na yote, Lowasa huyo hapo. Yu mzima akifurahia na uzao wake.

Kuna wakati niliwahi kulaa naye kwa muda mfupi, nilistaajabu jekima ya Lowasa. Yanaweza kusemwa mengi, ukweli ni kuwa huyu mzee ana Roho wa Mungu.

Mungu wetu, tunamwomba aendelee kumjalia maisha ya furaha katika uzee wake Mzee Lowasa. Shule za kata ni wazo lake, na alilisimamia hasa. Mradi wa maji kutoka ziwa Victoria ni uamuzi na dhamira yake. Alikuwa kiongozi mwenye uthubutu na mwenye hekima.
 
Sijui ni wapi ila nafikiri wamejumuika pamoja kama ishara ya kuadhimisha sikukuu ya Pasaka, bila shaka hawakusherehekea kama tulivyoelekezwa na Mamlaka.

View attachment 1743440

Hahahaha Lowassa hajaachaga tu vile vitu vyake vikali vikali

Naona Regina kashapita Jameson mbili hapo

Lowassa: “walisema mimi ni mgonjwa Nitakufa lakini Mungu ndiye mpangaji wa yote.
 
Back
Top Bottom