Muhimbili wamgomea Kigwangala

Haifai huyu jamaa kigeu geu,
ANA TAFUTA CHAKA ULAYA
FB_IMG_1617542610054.jpg
 
😂😂😂😂😂

Wacha tuendelee shuhudia maajabu.

Dah. Nchi hii??
 
Mi nadhani wataalam wa muhimbili wapo sahihi, na naanza kupata shida na udakitari wa mtoa hoja,

huenda kuna utafiti mpya unaoonesha kupiga nyungu hakusaidii kuondo corona lakini je,ni kweli kujifukiza kunasaidia kuondoa corona peke yake? Vipi mahoteli yenye sehemu za kujifukiza kwa majina ya "sauna bath"? na watu wanalipia kwa huduma hiyo.

mtambo huo umejengwa kwa gharama kama kazi yake ya kwanza imeisha uendelee kutumiwa kwa matumizi mengine.

Vinginevyo mheshimiwa mbunge bado ana hasira ya kupokonywa tonge la uwaziri ni hiyo sababu yake haina tija kwetu watanzania.
 
Kigwangalla ni daktari wa kucha!
 
Kuna taarifa inayosambaa mitandaoni na inayodaiwa ni kutoka Hospital ya Muhimbili wakimjibu na kumpinga Kigwangala kuhusu wazo lake la kutaka mashine ya kupiga nyungu iondolewe.

My take:
Kama hio imekuwa ni biashara nzuri, basi tutarajie mengi.
Tupewe connection japo ya matangazo basi
 
Back
Top Bottom