Taarifa kwa Umma: Makamu wa Rais na Mkewe watembelea kituo cha watu wenye uhitaji maalumu na kuwapa zawadi ya chakula, fedha na vinywaji

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,207
4,703
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akitabasamu na Mtoto Gilbert Mezi (11) anayelekewa na kutunzwa kwenye kituo cha Huruma Missionary Sisters of Charity kilichopo Hombolo Dodoma

Dkt. Mpango na Mkewe walitembelea kituo hicho kuwafariji Watoto, Wazee na Watu wenye uhitaji maalumu ikiwa ni maadhimisho ya Jumatatu ya Pasaka wakiwapatia zawadi ya fedha taslimu, chakula na vinywaji
 
1617634302948.png

Mama Mpango mcute
 
Ni sehemu ya sadaka mkuu

Mpango hakutegemea nafasi hii wacha atoe shukrani
Ningeshauri Ofisi ya Makamu wa Rais iachane na habari za namna hii. Hata ikitokea zinafanyika basi ziwe Off Camera.

Hatukuwahi kuona hivi kabla hajawa PM, kazi njema Dkt. Mpango katika majukumu yako mapya.
 
Ni sehemu ya sadaka mkuu

Mpango hakutegemea nafasi hii wacha atoe shukrani
Bila shaka hata wewe huwa unatoa sadaka ila sijawahi kukuona kwenye magazeti. Ni sawa anavyofanya ila kwangu mimi napenda kutoa msaada wenye kuhusisha mimi na mpokeaji tu. Huwenda desturi yangu ni mbaya ila naona vyema kuwa hivi nilivyo.
 
acha atoe sadaka amepitia kwenye valley shadow of death!!
achen kovi iitwe covid ile kitu inatesa sana!!kila saa unamuona zirail anakucheki afu anacheka HIII
 
Back
Top Bottom