Kwanza Rais Samia na washauri wake wakubali kuwa like kinachoitwa mzunguko wa pesa mkubwa wakati wa Kikwete ilikuwa pamoja na pesa za madawa ya kulevya,Meno ya Tembo ..ufisadi kama EPA na escrow...
Siku za karibuni watu wamepotosha maana ya wanyonge na kusema Tusijite wanyonge.
Guys wanyonge ni wale watu wa hali ya nchi ambao mara nyingi wanakosa wa kuwaseme,kama vile boda boda nk. Rais JPM...
Mwaka 2015 mara baada ya Mh. Rais kuapishwa, kila mwezi takwimu zenye kuvunja rekodi kuhusu makusanyo ya kodi zilikuwa zikitangazwa na watu wakiweka vifua mbele kwamba nchi yetu inaelekea kuwa...
Sijawah ona mtu kwa ngazi ya Katibu mkuu wa CCM ana behave this way... Kisaikolojia huyu jamaa hayupo sawa. Kweli nawaambia kuna siku atapigwa chini. Mentally he isnt ok.ashakum si matusi...
Mzee Warioba wewe ndio ulikua kiongozi wa kuandika Katiba mpya,
Mzee Kikwete wewe ndio uliguswa na kilio cha katiba mpya ndio ukaunda kamati.
Wazee wenye busara Ni pamoja na Mzee Butiku,Mangula na...
Wakuu,
Ni dhahiri kabisa kwa sasa mataifa ya Ulaya na Marekani wamekwisha ona udhaifu wa nchi za kiafrika kutosimamiana yenyewe kwa kuteteana au kuonyana pindi inapotokea chi nyingine nje ya bara...
Mimi ni kati ya wanao, wanazi wako (Kuliko mdogo wangu P Makonda). Nikupongeze kwa ushupavu uliouonyesha kwenye kampeni mpaka sasa.
Pamoja na yote haya nakuomba ufanye jambo hili, "Zungumza na...
MADA HII IMEJIKITA KATIKA TEUZI ZA MAKATIBU WAKUU ULIOFANYIKA TAREHE 4/4/2021
Mimi kama raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye anaishi katika nchi inayoongozwa na Katiba ya Jamhuri ya...
JF
Nimeona nianzishe uzi tujadili hili maana nimeona minyukano ya pandehizi mbili na matusi juu wakati huu hasa baada ya kuondokewa na Rais wetu mpendwa Magufuli...RIP..
Mi nadhan kwanza wanataka...
Dr Nchemba, waziri mpya wa fedha nenda kachape kazi kweli kweli watanzania walio wengi wanakutegemea na wanajua makusanyo yatapanda kutoka Trillion 1.3 ya sasa hadi Trillion 2 kwa mwezi, hii...
Bwana Mungu aliwaagiza waisrael, wakati wakitoka misri utumwani kuwa watakapo ingia nchi ile, wawauwe wenyeji wote waliomo ktk nchi ile mkubwa kwa mdogo, Mwanamke kwa mwanaume.
Wasiache hata...
Popote ulipo mwenyekiti wa chama.
Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.
Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na...
Habari za kushinda wakuu,
Nazani tunajionea kasi anayo endanayo mama Samia. Kutokana na kazi anazo fanya amejizolea sifa kemukemu(Nakiri kuwa anastahili Sifa hizo).
Lakini wananzego wanasema...
Mimi si mtumishi wa Afya, lakini mateso anayopata mtoto wa dada wa kunyonya (mtumishi wa afya), yamenifanya nitambue wapi serikali inakosa.
Ni jambo la ajabu sana kuona kuna uharamisho mkubwa wa...
Kwa mara ya kwanza vijana waliotumia mtandao wa kijamii katika kupambana na timu ya mafisadi iliyo na mapesa mengi.
Timu ya mtandao imesimama imara kuupinga upotoshaji ambao pengine kama...
Kiufupi nimesikitika sana enzi za rais Magufuli huyu Jaffo alikuwa kipenzi chake sana na huyuhuyu Jaffo ndiye aliyekuwa akimwambia rais Magufuli kuwa waalimu na watumishi wa afya wanatosha sana na...
Nawasalimu kwa jina la Muungano.
Wakuu kama Rais wetu mpendwa alivyosema leo mamlaka hii imefanya vikao 27 vya bodi ya mamlaka hiyo kwa mwaka jana pekee na wametumia kiasi cha shilingi bilioni...
mpaka sasa sielewi dr. magufuli kafa kivipi? mtu aliejipambanua kutetea na kulinda mali za nchi bila kupepesa macho.
inaonekana wale wabaya wake. mimi nawaita madalali wa upigaji wanafurahia sana...
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.
Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.