mpaka sasa sielewi dr. magufuli kafa kivipi? mtu aliejipambanua kutetea na kulinda mali za nchi bila kupepesa macho.
inaonekana wale wabaya wake. mimi nawaita madalali wa upigaji wanafurahia sana kutokuwepo kwake.
nchi hii ilishaibiwa sana. kongo ya felix tshisekedi inaibiwa usiku na mchana. siyo shaba, siyo dhahabu, siyo tungsten madini yote. hadi vumbi la kongo watu wanaiba.
tanzannia tuna dhahabu, tanzanite, rubi kila kitu. dr. magufuli alisimama kidete kupambana na wezi wa mali zetu sasa hayupo.
tunafanya nini kuendeleza legacy yake ya kuzilinda mali zetu? tupeane mawazo.