Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Najiuliza hivi kuna haja gani ya wana CCM kupaniki?kama upinzani umekubali kujimaliza wenyewe ya nini kununa? Lissu kashtuka lakini naona vijana wa chadema wanacheza ngoma bila maarifa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Watanzania wamesikia kauli yako ya kutaka vyombo vya habari vilivyofungiwa vifunguliwe ila vifuate sheria Kama Mkuu wa Nchi na Kama Mama umeona utoe huo msamaha tuanze upya lakini ukasisitiza...
11 Reactions
57 Replies
5K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abbasi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee, na siyo pamoja...
3 Reactions
84 Replies
7K Views
Wasalaam wapendwa Wanajukwaa. Napenda kutoa wito kwa Jukwaa la wahariri na wamiliki wote wa vyombo vya habari nchini kupanga siku maalum ya kukutana na kufanya vikao vya dharura kujadili kauli ya...
1 Reactions
5 Replies
967 Views
Jamani kitimtim tumekiona wote kundi la wanaojiita wanaharakati huru wakifanya yao kuunga juhudi na kushambulia watu kwa mdomo. Je, bado wanaharakati wa kiwango kile wanayo nafasi kwenye zama hizi?
3 Reactions
6 Replies
756 Views
Kwa jicho la tatu nauona utawala wa Samia Suluhu Hassan (SSH) ukienda kufanana ama kushahabiana na utawala wa awamu ya pili wa Mzee Ruksa. Samia Suluhu Hassan ni Mzanzibari na Mzee Mwinyi pia...
9 Reactions
49 Replies
6K Views
Tanzania inaenda kushuhudia anguko kuu la makusanyo ya kodi ambalo limeruhusiwa kwa makusudi na kiongozi wa Nchi kisa eti kuwabembeleza wafanyabiashara. Bila kuwa na maono mkuu wa Nchi amedai...
8 Reactions
73 Replies
6K Views
Mishahara duni ina athari kubwa sana kwa watumishi wa umma na Taifa kwa ujumla na hizi ni baadhi ya athari hizo kwa watumishi na Taifa letu. 1. Low purchasing power Mishahara duni inapunguza...
20 Reactions
46 Replies
7K Views
Nikuombea tu Waziri wa katiba na sheria Prof Palamagamba Kabudi utuwekee sawa hili la mbunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA Nusrat Henje namna alivyoupata ubunge. Hili swala lina utata mwingi na...
16 Reactions
62 Replies
5K Views
MH. RAIS , Numeona nitumie jukwaa hili kukupa ushauri wangu kuhusu kupanga safu mpya ya wakuu wa Mikoa, wilaya na wakurugenzi ( DED) . Ili ufanisi uwepo kwa serikali yako yakupasa kuondoa...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
INGEKUWA HOTUBA YAKE TUNGESIKIA Ndugu zangu! Nataka niwaambie ukweli. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Tusibaguane kwa vyama, dini na makabila yetu maana Maendeleo hayana Chama! Kuhusu KODI...
52 Reactions
38 Replies
4K Views
Kati Jambo lisilotakiwa na ccm nikuruhusu watu wapate taarifa sahihi. Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi ni mwiba kwa CCM na kufunguliwa kwayo ni kuruhusu magazeti ya Tanzanite na Uhuru...
2 Reactions
3 Replies
825 Views
Ukitaka kwenda haraka nenda pekeako,lakini ukitaka kufika mbali nenda na wenzako. Ni msemo wa kiswahili na leo tarehe 06 April ulinukuliwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa sita wa Jamhuri ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea. Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika...
65 Reactions
162 Replies
13K Views
Jana hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyempongeza Mhe. Rais kwa Hotuba nzuri, hata akina Kigwangala wanaokesha mitandaoni walikaa kimya. Watu waliopongeza ni wapinzani na wanaharakati pamoja na...
0 Reactions
5 Replies
792 Views
Mimi namlaumu sana Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan na sikubaliani nae kwa maneno yake matamu na ya kutia matumaini aliyoyatoa jana wakati wa kuapishwa kwa makatibu...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abassi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee na siyo pamoja na...
16 Reactions
95 Replies
8K Views
Mitandaoni kumeibuka kikundi cha watu ambao naamini ni wanasiasa ambao kwa namna moja au nyingine wanataka kukwamisha juhudi za Mhe. Rais katika kuwatumikia Watanzania. Kikundi hiki kipo nyuma na...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Ukiangalia yanayoendelea utagundua tatizo la hii nchi ni kutokuwa na dira shirikishi ya pamoja ambayo inatoa mwelekeo wa nchi na wananchi wakaelewa na hii ndio maana kila anayeingia tutamshangilia...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna watu kwa akili zao timamu wanafikili wanalidai sana taifa lao "Tanzania" kuliko jinsi taifa linavyowadai wao. Tanzania tangu enzi za ukoloni mpaka inajipatia uhuru wake kuna watu wamejitoa...
4 Reactions
3 Replies
681 Views
Back
Top Bottom