Mzee Warioba, Mzee Kikwete na wazee wenye hekima na Busara itisheni kikao maalumu Cha Wazee wenye busara wa CCM pamoja na Samia

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,147
33,302
Mzee Warioba wewe ndio ulikua kiongozi wa kuandika Katiba mpya,
Mzee Kikwete wewe ndio uliguswa na kilio cha katiba mpya ndio ukaunda kamati.
Wazee wenye busara Ni pamoja na Mzee Butiku,Mangula na wengine.
Mama Samia wewe ndio Rais kwa Sasa.
Nawaomba wazee nyinyi,mkutane pamoja na Rais Samia mjadiliane kuhusu kuanza kutumika kwa katiba pendekezwa na kamati ya Jaji Warioba.
Jaji Warioba baada ya kuvunjika bunge la katiba na baada ya Magufuli kuingia madarakani alikwenda kumshauri juu ya kupatikana kwa katiba mpya lakini Magufuli alikataa kumsikiliza na hii Ni kutokana na Magufuli kutokua msikivu na mjivuni.
Magufuli aliwahi kutamka kuwa Katiba mpya sio kipaumbele chake.

Inafahamika kuwa aliyeruhusu mchakato wa katiba alikua Kikwete,
Lakini aliyeuharibu alikua Mkapa.

Hata hivyo baadae Mkapa alikuja kuona Magufuli hadhibitiki,hafati katiba na anaendesha nchi kwa akili yake,Mkapa alionesha kujuta na akaja na mapendekezo kadhaa ambayo kimsingi yalikuwamo kwenye katiba pendekezwa ya Warioba.

Kimsingi Mkapa aliona umuhimu wa katiba Mpaya.
Mkapa alimshauri Magufuli kuruhusu wapinzani kushiriki kuunda Tume ya Uchaguzi na kushiriki kuhesabu kura,hapa aliongea kiutu uzima lakini kiukweli alikua anatamani Mambo yaliyomo kwenye Rasimu ya katiba pendekezwa ya Warioba.

Kama leo Mkapa angekuwapo ningeomba nae awemo katika hawa wazee Wisemen.

Mangula yeye Kama Samia,huyu ndio mwenyekiti kwa Sasa baada ya Mwenyekiti wa CCM taifa kufa.

Wazee wengine Kama kina Butiku wao busara zao zinahitajika Sana.

Ombi langu la kutaka Wazee hawa wakutane na Samia sio kumuomba akubali kuruhusu katiba mpya hapana,Bali kujadiliana kwa pamoja umuhimu wa kuleta katiba mpya.
Kwa Nini kujadiliana?
Kujadiliana kwa sababu nadhani (Sina uhakika) Chama ndio huwa kikwazo Cha kupatikana Katiba mpya,sidhani Kama Taasisi ya Urais Kama ndio kikwazo Cha Katiba mpya.Na uzuri Samia bado hajawa Mwenyekiti wa Chama.

Magufuli aliweza kukataa Mambo ya katiba kwa sababu alikua Rais na Mwenyekiti wa Chama.

Pia inaonesha Samia Ni msikivu na Hana uchu wa kujilimbikizia madarakani Kama yalivyo kwenye katiba Chakavu.

Nyerere aliwahi kuonya kuwa Katiba hii Chakavu akitokea Rais Dikteta ataongoza kidikteta Sana.
Nadhani wazee wangu wenyewe Ni mashahidi,miaka sita sio tu nchi iliteseka Bali hata nyinyi mlifungwa midomo na mlikanywa hadharani mbele ya sisi watoto wenu.
Hivyo kabla Mambo hayajapoa nawaomba mkutane mjadiliane juu ya ujio wa katiba mpya ili kuepusha mapema nchi kuja kupata Dikteta mwingine mkali zaidi ya Magufuli.
Wewe Kikwete ulituuliza "Watanzania mnataka mnikumbuke Kwan lipi?"
Tukakujibu,"Katiba mpya".
Ndipo ukaruhusu mchakato uanze.
Mkapa akavuruga lakini baadae akajuta,alipojaribu kushauri hakusikilizwa na bahati mbaya akafa.

Wazee wetu tunaomba Mkutane kwa pamoja na Samia mjadiliane jinsi ya kuleta katiba yetu tarajiwa..

NB
Mimi sio mwanasiasa mtanisamehe kwa uandishi usiopendeza,pia naomba kurekebishwa Kama kuna makosa Katia hoja yangu.

Naomba kuwasilisha.
 
Katiba hatuitaki wala hao haina haja ya kwenda kumshauri mama yetu. Mwache aongoze nchi mwenyewe maana yeye ndio Rais. Tumwombee Mungu amwongoze.
 
Mbona hukuwakumbuka hao wazee wakt tuna harakati za kuondoa ukomo wa rais kutawala?
 
Mh. Kikwete yuko vizuri sana kwenye kuuma na kupulizia. Angekuwa na dhamira ya kweli ya kuwaachia Watanzania Katiba Mpya kipindi kile, naamini Magufuli asingekuwa Rais mwaka 2015!
Huyu jamaa alikuwa anaongoza kitapeli. Hakuwa na nia ya dhati ya katiba mpya.

Ile tume ya katiba aliiunda na kuanza mchakato kwa vile tu Dr Slaa alikuwa ameishikia bango na kupata support kubwa kutoka kwa wananchi kipindi cha kampeni.
 
Katiba mpya ilikuwa mradi wa wapigaji tu, wako tulio ona hili tangia kipindi kile. Wenyenia ya dhati mliona wakiburuzwa ukumbini simama dede kuwatia hofu.
 
Katiba mpya ni Jambo la mhimu Sana Kwa nchi zetu hizi changa, Lakini katiba hiyohiyo ni ya mhimu zaidi na umaana wa pekee Kwa nchi za Ng"ambo huko, huku Africa kinachokuwa kinatufanya tupige kelelee saaana ni njaaa hakuna lingine

Nchi nyingi za Africa zimeweza kujitengenezea katiba zake zenyewe ziondokana na katiba za kikoloni, lakini Kwa bahati mbaya kabisa katiba hizo hazijawahi kuleta solutions za matatizo Yao

Wa Africa tunapenda zaidi kutumikia matumbo yetu,
Ni Africa pekee ambapo viongozi wake hufanya kazi Kwa lengo la kujinufaisha na kuwa na mawazo ya kwenda kuishi nchi za nje
 
Ni vipi bwm alivuruga mchakato wa katiba mpya?
Ni maelezo marefu,lakini kilichotokea kwa ufupi kabisa,siku hiyo ilitakiwa Mwenyekiti wa Tume ya kukusanya maoni Mzee Warioba akahutubie bunge la Katiba,lakini huko nyuma ya pazia Mkapa na genge lake kwa kuogopa suala la muungano (serikali tatu) na Tume ya uchaguzi na hatma ya CCM wakamtisha KJ.
Sasa badala ya Warioba kuhutubia bunge kwa kuelezea rasimi yake ya katiba ambayo alitakiwa aitolee maelezo mazuri na faida ya katiba hiyo.
From nowhere Akaanza Kikwete kwa kuioponda vibaya Sana Rasimi hiyo hasa suala la serikali tatu..na baaada ya hapo bunge likavurugika na kuanza mipasho.
Ilifikia hatua kila mbuge wa CCM akawa anatoa vitisho.
John komba akasema ataingia msituni kwani yeye Ni Askari mstaafu.
Kikwete akasema wanajeshi watawafukuza wote(kupindua nchi)
Lakini huyohuyo ndio aliiruhusu Tume na kuipa fedha.
Lakini kumbe nyuma ya pazia alitishwa na Akina Ben.
Kifupi Sana ni hivyo.
 
Back
Top Bottom