Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habarini za wakati huu waungwana. Kwanza kabisa nichukue nafasi kukupa pole ya msiba mzito uliokupata Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Msiba wa kuondokewa na Baba yako kipenzi. Mungu akutie nguvu...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Najua watu wenye Nia njema wamekua wakiomba kwa uwazi ama kwa kificho kuhusu haki mbalimbali za kisiasa hapa Tanzania.Mimi Ni mmojawapo niliyeomba kivyangu ili Mungu afanye mabadiliko bila vurugu...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mzigo mkubwa aliyoachiwa rais wetu kuliko yote ni wamachinga. Changamoto nyingine zote zilizopo katika taifa letu rais wetu anaweza kuzishuhulikia kwa urahisi sana na kwa muda muafaka lkn kusema...
15 Reactions
50 Replies
4K Views
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katueleza wazi kuwa licha ya Ukuta wa Mererani, bado madini yanatoroshwa. Pia Rais Saia akatueleza kuhusu Mkataba wetu na Kampuni...
12 Reactions
167 Replies
9K Views
Mh Rais najua unapitapita kwenye mitandao, najua viongozi wengi unaochagua unaletewa majina baada ya kufanya vetting lakin mwisho wa siku wewe ndio unafanya final selection Sasa Mh Rais Samia...
8 Reactions
61 Replies
6K Views
WanaJF Bila shaka tumefuatilia hotuba ya leo tarehe 06/04/2021 wakati Mhe. Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu na Wakuu wa...
21 Reactions
94 Replies
8K Views
Sikuielewa ile kauli ya PM siku ya kuapishwa kwa VP na mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kwamba ,"alishitukizwa ila akajikuta yeye yuko salama"! Katiba ya JMT inamtaka Rais kushauriana na...
8 Reactions
74 Replies
8K Views
Nimesoma tweet ya Lissu akitoa tahadhari kuwa vigelegele kwa mama Samia ni mapema Sana, kwani waliwahi kufanya hivyo kwa JK na kwa Magufuli. Mimi napingana nae kwa kuwa Mtu anapofanya vizuri ni...
6 Reactions
58 Replies
4K Views
Moja ya majukumu ya halmashauri na manispaa ni kutunga sheria kupitia baraza la council ambazo husainiwa na waziri mwenye dhamana. Ajabu sheria hizi zinazo tungwa hazizingati Hali ya usawa kwa...
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Naona mama anafurahiwa na karibu kila mtu: Wawekezaji washaomba wakutane nae waje wawekeze (jambo zuri, ila lisipoangaliwa tunaua vya kwetu pia kuna mamluki watapitia mlango huo plus wapiga dili)...
38 Reactions
85 Replies
7K Views
Ieleweke CCM ni CCM na kina Muundo, Sera na mwenendo wake. Kwa muktadha huo kila awaye mwenye uwakilishi utokanao na CCM inampasa bila hiari kufuata, kuheshimu na kuuishi u-CCM ulio na muundo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna usemi unasema hivi ukimuona adui yako anakusifia na unachokifanya jua kunasehemu unakosea.Naukimuona anachukia kwa unachokifanya basi jua unafanya sahihi endelea hivyo hivyo. Kila mmoja...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Waziri mkuu mh Majaliwa ametangaza hitimisho la maombolezo ya msiba wa hayati Magufuli na kwamba kuanzia kesho wananchi warejee katika shughuli za kawaida na kuchapa kazi. Chanzo: ITV habari...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni wazi wapinzani wa CCM watatumia fursa zote halali na haramu ili kuimaliza CCM ikiwa madarakani na ni haki yao kufanya hivyo. CCM ilipoteza mvuto kipindi flani hadi kufanya zoezi la kuvua gamba...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wasalaam wajumbe. Nimesoma na kusikia katika vyombo vya habari kwamba Magufuli Pombe katika kipindi chake alikuwa shujaa wa Afrika. Hii inasemwa sana, mwanzo nilijua ni kupitiwa tu, bahati...
31 Reactions
287 Replies
27K Views
Na Emmanuel J. Shilatu Tangua aapishwe kuwa Rais wa awamu ya 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameonyesha sura kuu 3 zinazotoa mwelekeo wa kiutendaji kwake. A...
1 Reactions
1 Replies
678 Views
Nampongeza mama kwa hotuba nzuri yenye kuleta tabasamu kwa maisha ya watanzania kwani hotuba yake imejaa maneno ya faraja kwenye maisha ya watanzania hasa sisi wa kipato cha chini mama kagusa...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimesikiliza kidogo hotuba ya Mh Rais nikaguswa na jinsi anavyochukizwa na utaratibu wa kujua matatizo/kero za wananchi kupitia 'wabeba mabango'. Naamini, kuna umuhimu pia wa kuanzisha...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
Speech ya leo ya mama imegeuza milengo ya watanzania upside down. Wale CCM kindakindaki wa humu JF wafia chama wa CCM wamekuwa wapinzani wa mama, na wale wapinzani wa ccm wa siku zote wamekuwa...
36 Reactions
76 Replies
6K Views
Tanzanian President John Magufuli was discharged from Nairobi Hospital while on life support and flown to Dar es Salaam late last week after doctors concluded that he could not be resuscitated...
7 Reactions
59 Replies
6K Views
Back
Top Bottom