Kikulacho ki nguoni mwako, RIP Magufuli

Zakamwamoba

Senior Member
Jul 28, 2016
166
1,000
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
42,105
2,000

Ilankunda1234

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
4,439
2,000
Mkuu huu ukweli ni mgumu saaana kuutafuna ila ndio hivyo ushausema.

Katika maisha yangu yoooote na utu uzima wangu wooote hua naamimi saana katika maufunzo ya muda.

Mpaka sasa kashapishana na makamu wake

Makamu; tutahakikisha miradi yoote inakamilika ili kumuenzi

Rais; miradi mingine iko kwenye makaratasi mpaka niione kwanza.

Maana yake kuna vitu viingi kwa hizi sentensi.
Kwa wachambuzi watagundua vitu vingi katika hili.

Mungu ibariki mama Tanzania
 
alphonce.NET

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
886
1,000
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Haya maneno ya "ushauri" na "kufanya kazi pamoja" labda kaa kwa utulivu halafu fikiri upya ujipe jibu ikiwa unaona yalikua ni mambo yenye kuwezekana kufanyika
 
covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
1,644
2,000
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
kuna washauri wanamshauri mama pengine wanamshauri hivi ila nasema tu kufuta legacy ya JPM ni miaka 100 labda
 
Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
5,997

Hivi kama mama alikuwa anashauri ila hasikilizwi alikuwa afanyaje zaidi.!?
Ni kukaa kimya na kuiangalia tu... Kheri liende hakutaka ugomvi.....

Sasa yeye ndio kayashikilia hayo maamuzi kwa aslimia Mia....

Acha mama aseme. Sijaona unafiki wake
 
bongly

Member
Feb 22, 2013
43
150
Mleta mada acha utoto, natangukiza samahani, kama baba wa familia yako ni mara ngapi unafanya mambo ambayo mshauri wako ambae ni mkeo analazimika kufata japo amekushauri na bado ukafanya yako tu.at the end of the day huwezi kukubaliana na mtu 100% kwa kila kitu...kwa any intelligent mind, if given a 2nd chance to do something you will do it better ...haimaanishi unamponda alietangulia ila unakuwa umejifunza kutokana na experience na outcome ya maamuzi uliyoyafanya au ya aliekutangulia.

Hoja ziendelee.

#Ukinizingua......
 
Mulokozijr12

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
2,041
2,000
Tukumbuke baadhi ya kauli, MIMI USIJARIBU KUNISHAURI,UKINISHAURI UJUE NDIO UMEHARIBU KABISA...

Then tumpatie benefit of doubt Mama kwakweli aendelee na kazi, watu kama nyie ni ruksa kueleza maoni yenu lakini hamuwezi kumrudisha nyuma.

Tunaweza kujenga au kubomoa kwa KAULI zetu.

Mapumziko mema MKUU.
 
Getang'wan

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
2,540
2,000
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Team Chato, mosi, umekosa uteuzi na hiyo imekuuma sana. Pili, hadi Mama ayaseme hayo ujue alishauri akapuuzwa akaamua anyamaze. Unajua wazi jinsi huyu unayempigania alivyokuwa mjuaji wa kila kitu. Sasa Mama amepata fursa lazima ayarekebishe yale yaliyo machafu ayazike kabisa. Hatujui angeamua kujiuzulu leo angeingia mrithi wa baba yako ambaye angekuwa na roho mbaya kuliko marehemu na angeendeleza mateso ya Watanzania. Mungu ameliona hilo.
Tatu, anaposema miradi mingine iko kwenye makaratasi ni kwamba hiyo miradi ipo kwenye concept tu, bado ni mawazo ambayo hayajajengewa picha halisi ili yatekelezwe. Mawazo kama hayo bado yapo kwenye makaratasi. Pengine ilikuwa ni miradi iliyoelekezwa Chato na haina uwiano wala ulazima wa kupelekwa huko. Labda ameona haina tija, ndio maana kahisi haitekelezeki. Hilo siyo kwamba hukuelewa isipokuwa umeona kuwa haikulengi wewe hiyo miradi na umeumia kwa matamshi yake.
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
14,873
2,000
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Marehemu alikuwa msema hovyo, aliwasema sana watanguliza wenzake mpaka akafikia kusema kuwa wanawashwawashwa.
 
Emmanuel Kasomi

Verified Member
Sep 3, 2014
4,511

Mpeni salamu zangu Hamis Kigwangalla
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom