Great thinker tusaidiane kuchambua uteuzi uliofanyika Jana na Mh.Rais ili kutambua ingizo jipya ni akina na CV zao kwamba walikuwa wapi kabla ya uteuzi, na waliotenguliwa ni akina nano
Nimeomba...
Kamanda Mambosasa ameonyesha chumba alichokuwa amehifadhiwa MO alipotekwa!
Ameeleza kuwa alikuwa akilazwa chini kwenye godoro akiwa amefungwa huku akiwa hawezi kuona lakini alikuwa akiachiwa...
Bado naomboleza kifo cha Jemedari Dkt. John Pombe Magufuli, Mzalendo wa KWELI asiye na UNAFIKI katika maslahi na ustawi wa watu wake na upendo kwa nchi yake, yaani Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Frankly speeking, regardless my political view, nimekuwa nikijiuliza ili swali kwa muda mrefu kidogo.
Wakati awamu ya 4 ya Mh Kikwete inaingia madarakani, kauli mbiu zake kama sijasahau zilikuwa...
Hi vitu hufanya kazi nje ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu....Na hii ndio maana tunaaswa sana tuwe na tafakuri kubwa tunapotamka mambo makubwa kwenye mazungumzo yetu
Bashiru msomi wa chuo...
Wanabodi, Wana CCM wa kuja au wavamizi wanaompinga Mama Samia Suluhu hawakutegemea mabadiliko ya ghafla ya kuondoa sera kandamizi.
Mimi ni mwana CCM. Kati ya mwaka 2017 mpaka 2020 Chama...
Mwanzoni niliposikia ujenzi wa Uwanja wa ndege Chato, basi nilidhani wameamua kumtengenezea mzee walau "Airstrip" tu ili iwe rahisi kwake kufika mpaka kijijini kwake kwa njia ya anga, kuepusha...
Wanajamvi:
Kwa wale Wakristu, wanafahamu matukio muhimu yaliyojiri baada ya Yesu Kristu Kufa Msalabani. Kwanza, Dunia ilitetemeka kuonyesha kuwa yule aliyekuwa msalabani ni Mungu anayetawala...
Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba...
HII NAFASI YA MOHAMED DEWJI NI KUBWA SANA.
Na Thadei Ole Mushi.
Kwa Tanzania leo habari kubwa ingetakiwa kila mahali iwe ni Mohamed Dewji kuteuliwa kuingia kwenye Jopo la washauri watano...
Salam kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
KAZI IENDELEE !!!
Ama baada ya salam waswahili wanasema Muungwa akivuliwa nguo huchutama ... !!! UVCCM chutameni kwanza na muinamishe vichwa chini...
Huu ujinga unao tumia watu wakuoshe haita saidia. Mh. Rais anakujua kuliko unavyo dhani, na aliwah kukupa onyo ukadharau kwa kiburi cha jiwe.
Mkuu wa mkoa alikuonya ukawa unapandshia mabega...
Nimepewa dokezo kwamba leo CAG atawasilisha ripoti yake Bungeni.
Japo naona taarifa hazijawekwa wazi sana lakini tusubiri muda sio mrefu kila kitu kitakuwa wazi.
Hali ni mbaya sana kwa TAMISEMI...
Katiba yetu ni nzuri sana ndio maana mambo yote yameenda kwa amani kabisa ndani ya siku 21 za maombolezo.
Katika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha...
Wapinzani ni kama manabii, wabashiri na watabili na huwa wanachokisema kinatokea, mimi nawaona kama ni watu muhimu sana kiroho hawa wapinzani wa Tanzania. Wakatia wa awamu ya nne ya Mzee Jakaya...
Waungwana salam,
Ni mara nyingine tena tukiwa na matarajio ya kuvuka ng'ambo ile basi ni vizuri huku tukitakiana heri tuulizane je akina nani bado wana hamu au matumaini ya safari?
Katika...
Unakuta mradi wa Serikali Mfano bango linaonyesha
Contactor ni NHC
Architect ni NHC
Quantity Surveyor ni NHC
Subcontractor ni NHC
Hakuna segregation of duties
Inatakiwa mfano Architect awe...
UFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti...
Mabibi na mabwana ni wazi kuwa awamu ya sita imepokelewa vyema na wapenda haki wote.
Hata hivyo ni wazi kuwa kwa waliokuwa na maslahi yao binafsi katika awamu ya tano, awamu ya sita imekuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.