Wosia kwa waziri mpya wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,392
5,304
Dr Nchemba, waziri mpya wa fedha nenda kachape kazi kweli kweli watanzania walio wengi wanakutegemea na wanajua makusanyo yatapanda kutoka Trillion 1.3 ya sasa hadi Trillion 2 kwa mwezi, hii itatuhakikishia sisi Watanzania miradi yetu mikubwa ya kimkakati kuendelezwa na kumalizwa kabisa.

Watanzania tunataka SGR, BWAWA LA NYERERE, UMEME KILA KIJIJI, HUDUMA ZA AFYA KUBORESHWA, BARABARA ZA LAMI KILA KONA, tusipoona haya hatutakuelewa.

Dr Nchemba usiende kuingia kwenye mtego wa wafanyabiashara wakwepa kodi wanaotaka uwafutie kodi zote alafu hizo kodi uwarundikie watanzania masikini mama ntilie na machinga kama ilivyokuwa zamani unakuta mfugaji au mkulima analipa kodi 10 ili amfikishe Ng'ombe wake mnadani, hatutarajii hili kutokea.

Dr Nchemba umejionea mwenyewe ulivyotukanwa na kuchambwa sana baada ya uteuzi wako na wakwepa kodi (Chadema) wasiolitakia mema taifa hili kwao hata miradi yote ikikwama ni sawa tu, kwa hiyo hao siyo wenzako, hata siku moja usije kusikiliza ushauri wao. Hao ni nyoka kwa taifa hili.

Dr Nchemba kwa miaka mitano iliyopita hatujaona waziri wetu wa fedha akizunguka kuombaomba Ulaya ,kwa hiyo hatutarajii kukuona kila siku upo uwanja wa ndege unaenda kutembeza bakuri.

Dr Nchemba kwa miaka mitano iliyopita tumeambiwa Tanzania ni tajiri na watanzania tunaweza, hatutarajii waziri wetu mpya uanze kuimba Tanzania ni masikini na hatujiwezi kwa lolote, ukifanya hivyo Watanzania hatutakuelewa.
 
Hatujakataa, waziri wa fedha hazunguki ulaya kuombaomba but what is the real situation about national debt statistics? Ni aibu kubwa it is approximately more than three times of our annual budget, lakini cha kustaajabisha zaidi ni kuwa tulikuwa tunajiendesha wenyewe kwenye aspects nyingi bila external support sasa je hilo deni liliongezeka kwa mechanism ipii??
 
Wosia! Kwani na yeye amevuta?
 
Mwendazake alikuwa chori chori kapeto
 
Akafanye kazi kwa bidii na kwa maarifa ya hali ya juu

Kuwe na kodi ya kutosha ili waweze kukamilisha miradi aliyoiacha Raisi Magufuli, na kuibua mingine mipya
 
Wakishindwa kufanya haya hatutawaelewa
 
Tangu lini Chadema wakaitakia mema ccm hadi wajipe kazi ya kumsifia rais Samia?.

Kazi ya kumsifia rais Samia ni ya MATAGA siyo ya chadema
 
Watanzania wengi ni wap.umbavu! Mtu hata hajui kitu anafanya mjuaji!
Kama huyu mleta mada anajifanya ana uchungu na Serikali ya Rais Magufuli,hajiulizi Magufuli alikuta deni la Taifa ni trillion 29 toka Uhuru kwa Marais 4.Yeye kali double deni,kaacha deni la karibia trillion 60!!!!
Halafu waji.nga wachache watukuza kuitwa wanyonge! Na eti Rais wa Wanyonge kafa! Upuuzi mtupu!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom