Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadao poleni na mihangaiko ya sikukuu ya kuzaliwa Bwana Yesu kristo mkombozi wa ulimwengu huu uliojaa kila aina ya ufisadi na machukizo. Naomba nitumie muda huu kuiomba takukuru, Mh. Waziri...
9 Reactions
45 Replies
6K Views
Huu ni ukweli mtupu, mwanasheria nguli na mgombea urais wa JMT kupitia Chadema anasema kweli tupu. Kama hawakuwa na makosa walipwe fidia na walioshiriki kuzifungia bila makosa wachukuliwe hatua.
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Viherehere wote chalii wameaibika sura zimewafubaa kujipendekeza kumekwisha Watu walikuwa wanajirusha fahamu lakini wameshushuliwa sijui wataingiza wapi sura zao Mungu ni mwema Mungu ni mwema...
10 Reactions
100 Replies
12K Views
DC Ole Sabaya amesema mambo mawili makubwa: Mosi, CCM Arusha kuna kandarasi ya majungu ambayo mradi wake mkubwa ni kuwapiga vita wazalendo wa kweli kama yeye. Pili, Kuvuka mpaka na kwenda kupata...
6 Reactions
90 Replies
11K Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Russian Railways, Bw. Alexander Misharin na kumweleza kuwa Tanzania inahitaji sana kuimarisha usafiri...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Ili kuyafafanua masilahi ya Zanzibar ndani ya Muungano lazima kwanza useme kweli tupu ni kwanini Tanganyika haipo Tanzania lakini Zanzibar ipo Tanzania. Pili, useme kweli tupu kama Zanzibar ni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hayati Magufuli alikomesha pasi na ajizi maandamo ya aina yoyote tofauti na mtangulizi wake Mzee JK. Hoja yake kubwa Hayati Magufuli kuhusu kuzuia maandamo ilikuwa ni muda wa kufanya kazi na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kusema ukweli hizi ajira ni MAGUMASHI, hazina uhalisia wowote. Jina moja linajirudia mara nyngi na kituo ni kilekile. Kuna wengine wamemaliza fom4 mwaka 2019 eti na wao wameajiriwa. Swali...
27 Reactions
397 Replies
56K Views
Kama Tsh 300 billions zikitolewa na serikali kwa wananchi kwaajili ya kupunguzia watu ukali wa maisha, kuziba pengo la ajira angalau kwa uchache, kuhamasisha biashara pamoja na kuchochea uchumi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tanzania Building Agency(TBA) imetoa picha za majengo ya hostel za JPM za UDSM baada ya kukwangua sehemu ya plasta na kuonyesha kuwa nyufa zinazodhaniwa kuwa katika jengo hazina madhara yoyote...
17 Reactions
281 Replies
35K Views
Sasa Mhe. Rais Samia Hassan Suluhu anasema juhudi zimefanyika kudhibiti wizi wa Tanzanite pale Mererani. Juhudi hizo ni pamoja na ujenzi wa ukuta wa umbali kama km 25 hivi, na kuweka ulinzi wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi. Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia...
10 Reactions
151 Replies
13K Views
Ukianza na Seif tangu ameanza kupambana na serikali ni muda mrefu kiasi kuna watoto humu jukwaani walikua hawajazaliwa, lakini mpaka leo hii wamo humu nao ni wajuaji. Maalim amekumbana na visanga...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuisha kwa uchaguzi mmoja ni maandalizi ya uchaguzi mwingine. Naam bila shaka upande wa chama kikongwe barani Afrika ni nani atapeperusha bendera ya urais imetatuliwa, ni mama lao Samia Suluhu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Awali ya yote mie binafsi nampongeza mno mno mno hadi sasa walau anatutia moyo na kuturudishia matumaini mapya! Huyu Mama ana set standards za namna Kiuongozi Mkuu wa nchi anavyopaswa kuwa...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Ngoma aliyopiga Mhe Rais kuhusu Uhuru wa vyombo vya habari imewachanganya wachezaji na kila mmoja anacheza kwa style yake Kama ifuatavyo; 1. Gerson Msigwa alileta barua ndeefu inayotamka vyombo...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Niliwahi kuandika huko nyuma kuwa ccm ni chama mfu,chama kilichopoteza Dira na Itikadi! Chama ambacho kimeshindwa kusimamia serikali yake yenyewe ni chama kilichokufa Chama ambacho kimeshindwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Jana tarehe 7/4/2021 Kiongozi wa Chama chetu, Ndugu Zitto Kabwe alizindua kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Muhambwe. Pamoja na mambo mengine Kiongozi wa Chama ameelezea umuhimu wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TANZIA Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara anasikitika kutangaza kifo Cha Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu ndg Jeswald S. Majuva aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 12/3/2021. Ndg...
11 Reactions
116 Replies
26K Views
Back
Top Bottom