OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,094
- 103,333
Nchi ilikuwa inaenda kufa
Tuko busy na Mama kwa sasa.
Kwa maelezo yakoIQ kubwa sana
Inahusiana nini na TRA na video ya LissuKwa maelezo yako
Chanjo hujachanjwa
Nyungu hujapiga
Hujajifungia unaenda kazini kila siku
Mbona hujafa na corona sasa??
Hata mkiungana wote pale Lumumba na wake zenu,hamuwezi kupangua hata hoja moja ya Lissu.Lisu ni debe tupu! Kwanza anafanya nini kwa amsterdam mpaka sasa hivi?
Jipya kwenye usumbufu kuonea watu kwenye kodi ?Lisu hana jipya, aendelee kuwatumikia hao mabwana.
Debe tupu ni wewe mnufaika wa utawala haramu uliopita mliotaka kumuua na baada ya uchaguzi mkuu haramu mkataba kumbambikia kesi zingine kibao kwa njia haramu za kishetani kama siyo wewe mda huu Lisu asingekuwa huko ubelgijiLisu ni debe tupu! Kwanza anafanya nini kwa amsterdam mpaka sasa hivi?
Vina uhusiano gani na mfumo hatari wa TRA?Kwa maelezo yako
Chanjo hujachanjwa
Nyungu hujapiga
Hujajifungia unaenda kazini kila siku
Mbona hujafa na corona sasa??
Hii ina uhusiano gani na mapungufu ya TRA?Lisu ni vuvuzela ukitoa maoni kwa majereo yake moja kwa moja yanapoteza sifa maana yeye huongea chochote na kubadilika muda wowote hivyo kutumia Kama rejea ni kuharibu unachomaanisha.
Time is always a good judge.
Aliwaambia ukweli mkatukana weeee kuwa anatetea wakwepa kodi . Hya sasa Rais kawaumbua hamjui msifie au mpinge.Lisu hana jipya, aendelee kuwatumikia hao mabwana.