Pendekezo: Dkt. Hassan Abassi afukuzwe kazi kwa kiburi cha kukataa amri halali ya Rais wa Nchi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
82,902
2,000
Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu hilo ?

Je amedhamiria kumpinga Mh Rais kwa faida ya nani ? kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi mwenye kiburi kiasi hiki ?

Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .

Malisa_GJ_on_Instagram:_“Waswahili_husema_"kenge_huwa_hasikii_hadi_damu_zimtoke_masikioni....jpg
 
Championship

Member
Aug 7, 2019
53
150
Dr Abbas anaipunguza speech ya rais katika tafsiri anayoitaka yeye. Rais kasema vyombo vya habari yeye anasema online TV tu.
Huu ni ukaidi
Hapa umejitahidi kupunguza udini, hongera mkuu maana ungeweza kutetea kama unavyopenda kufanya.

I rarely notice mtu ni wa dini gani kwa kuangalia majina maana babu alikuwa muislamu na ndugu wengi wana majina ya saidi, abdul, omary, habiba, mariamu nk japo ni wakristo
 
Kijogoodi

Senior Member
Mar 29, 2021
181
500
Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu hilo ?

Je amedhamiria kumpinga Mh Rais kwa faida ya nani ? kuna haja gani ya kuendelea kuwa na kiongozi mwenye kiburi kiasi hiki ?

Bila shaka huyu ameshindwa kwenda na kasi ya mama , ameamua kupandisha mabega yake juu kujimwabafai , napendekeza afukuzwe kazi haraka na ikiwezekana akamatwe na kushitakiwa .

View attachment 1745371
Waonye maana bavicha wamepora kazi ya MATAGA
FB_IMG_1617728213402.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom