Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiangalia trend za majadiliano mitandaoni utaona dhahiri watanzania wameingia ubaridi toka jana ilipotoka taarifa ya Dr Abbas kukanganya na kufuatiwa na ya Msigwa kufafanua vyombo vipi vya habari...
20 Reactions
53 Replies
4K Views
Tumeona bunge lilivyoanza, kamati zimepangwa, wanalazimisha hata zile kamati ambazo kikawaida huongozwa na wapinzani, wanataka ziongozwe na watu wa CCM, hii ni ajabu, wanaweka chama mbele ya...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Binafsi nilimsikiliza CAG wakati akiwasilisha maelezo ya ripoti yake kwa wanahabari. Prof Assad alisema ataendelea kutumia neno " dhaifu" katika ripu zake kwa sababu ni neno sahihi na hakuna...
8 Reactions
43 Replies
7K Views
Sikubaliani asilani na maelekezo aliyoyatoa kwa watendaji wake akizindua kituo cha mabasi huko nyumbani, Mbezi Louis lililopewa jina lake. Kwanza Magufuli amesema Stendi hiyo ni ya Kimataifa...
34 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari Watanzania! Nipo njia panda dhidi ya mstakabali wa Taifa letu. Kuna kundi kubwa la timu mbili zilizo ibuka baada ya Hayati JPM kufariki. Makundi hayo ni kati ya walio na imani na rais...
0 Reactions
1 Replies
510 Views
CAG ni mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serilali lakini mara nyingi inaonekane GAC anakagua mahesabu ya serikali, lakini hafanyi udhibiti wa matumizi ya fedha za serikali. Kazi ya CAG...
0 Reactions
8 Replies
864 Views
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana na ripoti za idara hii muhimu serikalini ya CAG. Kwa kweli ukipata watu wanaofanya kazi zao kwa weledi na wenye hofu ya Mungu utajifunza mengi sana hususani kwenye...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
ni shilingi za kitanzania 5,000/= kwa lita moja. hiyo ni bei ya mafuta ya kawaida tu kama MO, VIKING, KORIE n.k mi naelekea kuchanganyikiwa wadau.........msisahau nondo na cement vilishapanda...
1 Reactions
12 Replies
956 Views
Leo Katika Matembezi yangu kule kigamboni kila weekend huwa napitia huko south beach, Mkononi nilikuwa na Gazzet lenye picha kubwa ya Magufuli, nilipofika maeneo wanapo camp wachina wanaojenga...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Baada ya siku 21 za maombolezo maisha yameenda kasi sana, Mtu aliekuwa akipambwa katika kila idhaa na vituo vya habari sasa hali imegeuka Ripoti ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali na baadhi ya...
2 Reactions
64 Replies
4K Views
Waziri kijana Kigwangalla Amesema kuwa polisi ni organ za serikali, hivyo wanaweza kuagizwa na mahakama, Bunge, au waziri bila kipingamizi, hivyo aliyemjibu Kwa kukiuka maagizo yake angemfikisha...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Rais wa kwanza wa nchi ya Ivory Coast Marehemu Felix Houphouet Boigny aliufanya mji aliozaliwa wa Yamoussoukro kuwa mji mkuu wa ivory Coast badala ya Abidjani.Zoezi la kuufanya mji wa Yamoussoukro...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
  • Closed
Kama kawaida yetu, tutafanya uchambuzi wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka unaoishia Juni 2020. Uchambuzi wetu utafanyika kesho kutwa Jumapili, 11 Aprili, 2021...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Nimeshangazwa sana na hekima za Magufuli...hivi kwanini kabla yake hawakuwepo viongozi wazalendo kama yeye? Katika somo la historia, tunafundishwa mambo mengi ya kishenzi sana...mara evolution of...
1 Reactions
2 Replies
793 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amempiga marufuku Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) kujiita Rais wa Mbeya na kudai kuwa kila mmoja asimamie nafasi yake na majukumu yake kwakuwa...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
HII RIPOTI YA CAG TUTAANZA KUKANYAGANA, "SIJUI TUANZE KUMLAUMU NANI"? Na Elius Ndabila 0768239284 Riporti ya mwaka huu ya CAG inaonyesha kunaubadhilifu mkubwa wa fedha za umma. Rushwa sasa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Makundi hatari kwa maana ya nguvu ya kisiasa na uwezekano mkubwa wa kugeuza nchi kuonekana ni ya hovyo kabisa ni haya 1. Wamachinga wasio sehem rasmi Sasa hivi ukienda Mwanza kwenye Kipleft cha...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Dkt. Hussein Mwinyi akiagana na viongozi wa Serikali wakati akielekea nchini Msumbiji kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC, kumuwakilisha Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Hii ni...
32 Reactions
272 Replies
26K Views
Kumekuwa na watu wanao pinga ununuzi wa ndege kwa factor nying mno na wapo pia wanao unga mkono lwa factor nyingi mno. Wote kila mmoja ana point kwa kulingana na anavyo waza. Ila jambo moja kuu...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Kumekuwa na habari nyingi za waganga njaa na wanufaika wa utawala wa mwendazake kwamba eti anachafuliwa Ili kufuta legacy yake. Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa Ripoti za CAG yangu mwendazake...
12 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom