Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mawazo yangu nilidhan Polepole amepewa Ubunge ili akawe waziri but mzee kaniprove wrong. Sasa je Polepole kakosa nini mpaka kutolewa kijanja kwa gia ya ubunge? Je, nani atachukua nafasi...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
ANAANDIKA SASA Dkt. Kigwangalla.... ———————————— Juzi nilialikwa na nilishiriki kwenye mdahalo wa Zoom ulioandaliwa na Nadj Media Center. Mjadala ulikuwa mzuri na mkali sana. Kwa kuanzia nataka...
23 Reactions
135 Replies
13K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 31 Desemba, 2020 amewasilisha fomu zake za maadili katika ofisi ya makao makuu ya Sekratarieti ya Maadili ya...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Leo Mangula kaongea kwa Code nzito sana watu tunaojua saikolojia tumeelewa Ujumbe wa Mangula ulikua mubashara sana na wenye kumuelewa chamani mmeelewa Leo nimeprove yangu ya moyoni Tunaolewa...
15 Reactions
122 Replies
18K Views
“Kuhusu suala la mabando kulizuka rabsharabsha juzi hapa, Wananchi wakapiga kelele mkalituliza, kalifanyieni kazi lisizuke namna ile mpo mnaangalia hawa Watu wanakuja tu na mambo yao mpaka...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana huyu hapa: ni mh. Abdullah Bulembo alipenda jiwe kama alivyomwita yeye apite bila kupingwa. Wajameni mnapokuwa mnatoa kauli nzito nzito kama hizi msiwe mnapotea moja kwa...
1 Reactions
2 Replies
860 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za rambirambi malkia Elizabeth wa Uingereza kufuatia kifo cha mumewe Prince Phillip. Ikumbukwe Prince Phillip alifika Tanganyika mwaka 1961 wakati...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa miaka sasa watu timamu hawapigi kura kuchagua viongozi bora, ni wakati sasa tudai katiba bora itakayopelekea kupata viongozi sahihi. Huu ni wakati wa kuipaiza Tanzania kufaidika na Rasilimali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaanii Maarufu sana wa Filamu Nchini Tanzania Steve Nyerere ametangaza kumvua ubunge mchungaji Msigwa kwenye uchaguzi Mkuu utaofanyika mwishoni mwa mwaka huu, ametangaza kugombea jimbo la Iringa...
22 Reactions
150 Replies
18K Views
Ndugu zangu, Toka awali Rais Samia aape kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wafuasi wa CHADEMA walianza kumpangia nani awe makamu wake, akawakwepa. Hawakuchoka, wakachachamaa avunje...
7 Reactions
63 Replies
5K Views
Let me show this chart below before starting my explaination. The chart is showing us that hydroelectric power generation in China is the second after Coal. Hydroelectricity is currently China's...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau nasema toka Moyoni kuanzia leo sito kuja kumuamini kiongozi yeyote wa CCM kweli leo nimeamini kuwa kuipa Dhamana CCM ni Sawa na kujiweka kitanzi Kwa miaka Mingi nimekuwa nikijipa...
50 Reactions
108 Replies
10K Views
TCRA, nawaomba muichunguze kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom kwa kukata fedha unaponunua muda wa maongezi kwa hoja kuwa mteja uliomba/ulijiunga na huduma fulani ambayo hutakiwa kulipia kwa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa sheria wa marekebiaho ya sheria mbalimbali nchini namba 3 wa...
11 Reactions
208 Replies
26K Views
1.Ujenzi wa maabara na vifaa vya kujifunzia katika kila shule za sekondari nchini. Zoezi hili halijapewa kipaumbele na Sizonje licha ya kuwa na tija kubwa kwa taifa. Hakuna hamasa tena na kutokana...
16 Reactions
99 Replies
9K Views
KAULI MBIU: TUKUZE UCHUMI. TUONDOE UMASIKINI - Prof. Sospeter Muhongo Waziri aliyejiuzulu kwa kashfa ya ESCROW, Profesa Muhongo anatangaza nia moja kwa moja kutoka Musoma. Tujumuike pamoja...
49 Reactions
828 Replies
87K Views
WIZARA MPYA TUCHAPE KAZI KWA KASI YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amewataka watumishi wa Wizara yake pamoja na taasisi zilizo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mapema leo [kwa wengine tayari ishakuwa jana], wizara ya mambo ya nchi za nje ya Marekani imetangaza kuwazuia 'Gavana' wa jiji la Dar Es Salaam, Paul Makonda [au ukipenda Daudi Bashite] na mkewe...
89 Reactions
249 Replies
22K Views
Tanzania among 14 most corrupt countries : report Dar es Salaam. Tanzania is among the 14 most corrupt countries in the world, according to a new report released yesterday. Fellow East...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
SERIKALI ya Uswisi imeitaka Tanzania kuwasilisha kwake majina ya watu wanaotuhumiwa kuficha mabilioni ya fedha nchini humo, kama sharti la kusaidia uchunguzi dhidi ya tuhuma hizo.Waziri wa Nchi...
2 Reactions
72 Replies
7K Views
Back
Top Bottom