Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
Nafikiri hii ni glasnost yetu. Mambo mengi japo si yote ya nchi ni vema kuwa wazi. Watu wayajadili na kutoa maoni yao mbalimbali.
Mambo ya umma yanatakiwa kuwekwa wazi na kujadiliwa kwa uhuru. Hapo ndiyo tutaepuka mambo kama yaliyotokea miaka mitano ya JPM.
Sasa hili suala lisiachwe kwa Rais tu. Liwekwe kwenye Sheria na Kanuni ili kila kiongozi alazimike kulifuata atake asitake. Kusiwepo na habari za uongouongo na takwimu za kupika.
Ni vema pia kuwe na Sheria juu ya adhabu kwa kiongozi atakayebainika kusema uongo na kupika takwimu.