Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WanaJF naomba msaada hapo wakati mnanijibu napenda pia msingatie kuwa. JPM alifariki 17/3 Ripoti ya CAG inapaswa kufika kwa rais ama au kabla ya 31/3. Rais anapaswa kuipeleka ripoti ya CAG...
0 Reactions
5 Replies
869 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu wana habari karibuni katika hiki kikao. Ndugu wasikilizaji kupitia wana habari waliopo hapa karibuni. Umma wa wasikilizaji kupitia hivi vyombo vya habari nanyi...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Ule msemo wa kiswahili kuwa nyani haoni kundule unaukweli kwa 100% Upinzani nchini Tanzania upo hoi kabisa, hatujui hata kama 2025 wataweza kusimamisha wagombea. Maana kiuchumi, kisiasa na...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
"Wapo watu duniani hata ukiwabeba mgongoni ukawavusha mto,wakifika ng'ambo watasema limgongo lake linanuka, tuwaombee tu"-Rais Magufuli 02/04/2018 #MimiSioniUbayaWaMagufuli.
13 Reactions
36 Replies
3K Views
Habarini wana JF, Nijielekeze kwenye maada, moja kwa moja. Kuna taarifa imetoka kuhusu safari ya mheshimiwa rais, hapo kesho ambapo atakwenda Uganda. Swala la usalama wa taarifa za ikulu, ni...
10 Reactions
70 Replies
7K Views
Wengi wameanza kudai kuwa Serikali imekosea sana kununua ndege maana ni vitu vya hovyo na vyenye kuleta hasara tu kwenye nchi. Kabla sijaenda mbali, ngoja niulize vijiswali.. 1. Hivi pesa zote...
15 Reactions
78 Replies
8K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada Mhe. John Baird baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Macdonald Cartier jijini Ottawa, Canada, kwa...
20 Reactions
231 Replies
22K Views
Spika wa Bunge, Job Ndugai amebadilisha msimamo wake kuhusu ujenzi wa mradi mkubwa wa ukanda maalumu wa kiuchumi wa Bagamoyo (Bagamoyo SEZ) mkoani Pwani akisema awali yeye na wabunge wenzake...
7 Reactions
138 Replies
15K Views
*Yakarabati nyumba ya kigogo kwa mamilioni *Yanunua samani, gari kinyume na utaratibu OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, imeingia katika kashfa nzito na kudaiwa kufanya...
3 Reactions
111 Replies
18K Views
Ndiyo wanastahili lawama nahata kupoteza sifa kuliongoza taifa hili. Waliwabeza na kuwaita majina mabaya watu wote waliotoa ushauri kwa serikali, naanza na wabunge hakuna asiyejua wabunge wa CCM...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwezi mmoja umekatika tangu kampeni za Uchaguzi Mkuu zianze. Hali halisi inaonesha dhahiri Taifa lilivyobugikwa na umaskini uliozalishwa ndani ya miaka 5 ya utawala huu wa awamu ya tano. Taifa...
30 Reactions
38 Replies
4K Views
Baadhi yetu tulikuwa tunajua tangu awali kwamba ELITEs wa CCM wengi WALIMCHUKIA Hayati kuliko Wapinzani +Mabeberu walivyomchukia Mwamba kwa pamoja,Hayati mwenyewe alilijua hilo ndio sababu...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Uchaguzi umepita, ila consequences za Uchaguzi huu zitaathiri Nchi hii na Chama cha Mapinduzi kwa miaka mingi sana ijayo kwa maoni yangu binafsi CCM imeshinda pambano (japo kwa umafia wa kila...
16 Reactions
14 Replies
2K Views
Shujaa hafi, daima huendelea kuishi ndani ya mioyo ya watu kwa kupitia yale mema aliyoyafanya enzi za uhai wake. Ile alama aliyoiacha, namna alivyoyagusa maisha na mioyo ya wengi, kwa kadri...
9 Reactions
68 Replies
5K Views
Wanabodi, Nimekutana na bandiko hili mahaliWana jamvi katika kufuatilia ni wazi Viongozi hao waandamizi wa mihimili ya Serikali wanatoka katika Mkoa mmoja wa Mara na katika best practice na good...
1 Reactions
63 Replies
9K Views
Ni huyu muhongo ndiye aliyedanganya kwenye kashfa ya IPTL. Ni huyo huyo Muhongo ametoa kauli nyingi sana ambazo ni tata. Leo hii Muhongo anawadanganya watanzania kwenye issue ya Dangote, anaenda...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Hakuna ubadhirifu uliofanywa na Rais aliyepita, ubadhirifu ulifanya na viongozi wasio kuwa na maadili wakiwemo Mawaziri, makatibu wakuu na maafisa suuri wengine katika sekta mbalimbali. Kama...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Jana na Leo magazeti ya Mwananchi na The Citizen yameandika kuhusu kuhusika kikamilifu kwa Waziri wa Nishati na Madini kwenye mchakato mzima wa kupandisha bei ya umeme nchini. Magazeti hayo...
42 Reactions
215 Replies
23K Views
Mbunge wa Kilombero (CHADEMA), Mhe. Peter Lijualikali ameliomba Bunge tukufu la Tanzania kuunda tume maalum ya kuchunguza kutekwa kwa Mo Dewji, kupigwa risasi kwa Tundu Lissu, kupotea kwa Ben...
4 Reactions
24 Replies
6K Views
Nashauri tu kwa sababu Watanzania hatutabarikiwa na Mungu kama chombo chetu kitukufu cha Bunge kinanajisiwa mchana kweupe. Ninayasema haya baada ya jana kuwasikiliza wanasheria nguli akina Chris...
1 Reactions
1 Replies
829 Views
Back
Top Bottom