Mkurugenzi wa mawasiliano, Ikulu kutoa taarifa ya safari ya mheshimiwa rais kesho, ni kosa

chase amante

JF-Expert Member
Feb 24, 2018
5,553
2,073
Habarini wana JF,

Nijielekeze kwenye maada, moja kwa moja. Kuna taarifa imetoka kuhusu safari ya mheshimiwa rais, hapo kesho ambapo atakwenda Uganda.

Swala la usalama wa taarifa za ikulu, ni muhimu sana, hususani katika kipindi hichi ambapo rais wetu ni mpya, na kuna maadui wengi tu wa ndani na nje ya nchi ambao, pengine hawakutaka awe rais.

Kutoa taarifa ya safari yake kwa umma, kabla ya yeye kufika Uganda, inaweza toa fursa kwa wenye nia mbaya, kutekeleza nia ovu.

Simuombei mabaya mheshimiwa rais, ila natoa tahadhari tu. Angeweza mtuma mjumbe maalumu kama alivyotumwa Dkt Amina Mohammed leo, kwa niaba ya rais uhuru Kenyatta.
 
Mwamba Mbowe ni hatari. Yani kamanda kutangaza tu kesho atahutubia taifa mama yetu mpendwa kala kona. Mama usihofu kwa taarifa yako mtu pekee wa kumuamini nchini ambaye atakushauri vizuri ni braza Akaeli. Mtumie ni hazina pekee iliyojitosheleza na ya uhakika.
 
Mwamba Mbowe ni hatari. Yani kamanda kutangaza tu kesho atahutubia taifa mama yetu mpendwa kala kona. Mama usihofu kwa taarifa yako mtu pekee wa kumuamini nchini ambaye atakushauri vizuri ni braza Akaeli. Mtumie ni hazina pekee iliyojitosheleza na ya uhakika.
Wewe ndo hamnazo kabisa,aacha kufanya safari ya kikazi kisa DJ anaongea na wafuasi wake?
 
Wewe ndo hamnazo kabisa,aacha kufanya safari ya kikazi kisa DJ anaongea na wafuasi wake?
Yani ni mother nature (mother instinct) lugha yetu ya sisi wasomi. Bado mgeni kwenye urais ile tenshen halafu anamfaham vizuri Braza Akaeli anavyotema na kushusha nondo kaaaliiii zilizoshehen madini ya kutosha.

Ndo maana mama yetu mpendwa kala kona. Laiti angemjuwa mwamba just want to extend an olive branch ili awe a helping hand pertaining issues concerning national importance.
 
Huyo Mama hata bila bodyguard anadunda tu mtaani aliishi vizuri na watu na hana visasi waliomkosea keshawasamehe tu na kuwapuuza
Nina amani na Madam president vibaya mno nikikutana nae sitajizuia kumkimbilia na kumlaki, sio lile lijamaa lililokuwa linajiona limungu mtu nilikuwa nikilisikia redion tu au kwenye tv nazima au naweka katuni.
 
MATAGA Mnaishi awamu ya 5 kuficha ficha vitu na uongo uongo...

Si ajabu walikuja watu wazima wenye wajukuu nyumbani wanafoka msikitini kuwa Rais yu mzima na ana mafile mengi ya kusoma sio wa kuonekana anazurura kariakoo...

Kumbe Rais yuko Taabani kitandani...
 
Back
Top Bottom