Hivi wapi tofauti ya CAG Professa Assad na CAG asiyenakitangulia jina Kichere

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,220
5,943
WanaJF naomba msaada hapo wakati mnanijibu napenda pia msingatie kuwa.

JPM alifariki 17/3

Ripoti ya CAG inapaswa kufika kwa rais ama au kabla ya 31/3.

Rais anapaswa kuipeleka ripoti ya CAG ndani ya siku 7 ya kikao cha bunge kinachofuata au kuendelea baada ya kupokea ripoti.
 
WanaJF naomba msaada hapo wakati mnanijibu napenda pia msingatie kuwa
JPM alifariki 17/3
Ripoti ya CAG inapaswa kufika kwa rais ama au kabla ya 31/3
Rais anapaswa kuipeleka ripoti ya CAG ndani ya siku 7 ya kikao cha bunge kinachofuata au kuendelea baada ya kupokea ripoti.
Wewe kama huikubali report ya CSG basi afadhali unyamaze ili maisha yasonge.

Lkn watanzania wameikubali hiyo report na kugundua kuwa serikali iliyo jitanabaisha kuwa ni safi na haina chembe ya ufisadi na ikaanzisha mahakama ya mafisadi lkn ndiyo leo imeongoza kwa kufanya ufisadi kwa 100%
 
Back
Top Bottom