Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Imepita wiki moja na siku kadhaa tangu Mama Samia Hassan Suluhu alipoapishwa kuwa Rais wa Tanzania, na kuweka rekodi mpya ya kuwa Rais wa Kwanza Mwanamke kwa Serikali ya Tanzania. Kutokana na...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Karibu. Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa. Up dates; Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu...
11 Reactions
220 Replies
22K Views
KWANINI AMEWEZA KUKUBALIKA HARAKA KWA WATANZANIA WOTE? Ukiniuliza mimi kiongozi bora ni nani jibu litakuwa ni yule ambaye ana uwezo wa kufikia malengo ya Taifa ndani ya muda uliopangwa na anaweza...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau, malalamiko ni mengi kila kona ya nchi. Hii pia imechagizwa na bwana Doto James, mpwa wa Mhe. Rais kuwa paymaster general wa serikali (Katibu Mkuu Wizara ya Fedha). Hata kama ingekuwa...
22 Reactions
127 Replies
19K Views
Hakuna anayebisha kuwa, Mwaka 2015, CCM iliponea chupuchupu kwenye kuwa Chama cha Upinzani. Ilikuwa haiuziki, ilitukanwa kila pahala, ilichukiwa na kila raia nchi hii, na wao Kwa kuusoma upepo...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameagiza Ofisi za Wakuu wa Mikoa na Mamlaka za kinidhamu kuwachukulia hatua wakuu wa vitengo vya ukaguzi wa ndani wa halmashauri 54 Waziri Ummy amesema...
3 Reactions
59 Replies
8K Views
Habari wakuu, Mimi binafsi naweza sema matatizo yote ya nchi yetu ni katiba, hata JPM isingekuwa katiba ya hovyo iliyopo asingekuwa na mamlaka ya kuendesha nchi namna ile. Katiba yetu imempa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Tulishaambiwa mapema kuwa MB1 itauzwa kati ya Tsh. 2 hadi 9 lakini kwa kuwa wengi wetu tuliikimbia hesabu, hatukuliona hili. Mfano: MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 2 maana yake GB1 yenye MB 1000 itauzwa sh...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
"Nzi" wa Chadema waliojibanza Ikulu na Wizara ya Nishati wapo hatua za mwisho kabisa kumaliza kukusanya nyaraka muhimu vivid evidence juu ya ufisadi mkubwa uliofanywa katika mradi wa Bomba la...
26 Reactions
432 Replies
42K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewatuhumu vigogo wa Serikali kwa ufisadi wa Dola 600 milioni za Marekani, sawa na Sh1.2 trilioni walizotumia katika mradi...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Mkataba wa Gesi umevuja: #Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka – #Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu leave a comment »...
14 Reactions
184 Replies
22K Views
Kwanza utaona ujinga wa baadhi yetu juu ya kupambanua mambo makubwa ya Taifa. Nimetumia ujinga kwa kuwa "UJINGA" siyo tusi bali ni ukosefu wa maarifa ya kitu fulani ambacho hukijui...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunapoongelea Taifa, inatakiwa iwe MWIKO kuachia maamuzi yoyote ya kitaifa yafanywe na mtu mmoja au kikundi kimoja cha watu, bila kuwa na vikundi vingine huru (kiufanyaji kazi) vyenye jukumu la...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nianze kwa Kumuombea dua ya heri Hayati Dr. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wetu wa awamu ya tano lakini pia niombe nguvu ya Mungu itufunike sisi watanzania wote, katika kipindi hiki...
1 Reactions
1 Replies
623 Views
Wandugu, sasa ni muda muafaka wa kurejesha ule mradi wetu mkubwa wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa maslahi mapana ya kiuchumi na kwa faida za kichumi. Yafanyike maandalizi mapema na washirika...
10 Reactions
228 Replies
19K Views
June 31, 2007.. Rais wa Zamani wa Libya Hayati Moummar Gaddafi akiwa amesindikizwa na Walinzi wake wa kike Waaminifu alihutubia ktk Mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) jijini Accra- Ghana huku akiwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumekua na upotoshaji wa taarifa iliyotolewa na Mhe Ummy Mwalimu kuhusu wahasibu CPA (T) wanaotakiwa kufikishwa kwenye bodi ya wahasibu. Taarifa sahihi ni hii ifuatayo: ‘Wataalam wa Fedha wenye...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunalazimika kueleza jinsi TRA wanavyofunga biashara za wafanyabiashara. TRA wamepangiwa malengo ya ukusanyaji fedha, kinyume cha hivyo mtu anafukuzwa kazi na ajira inakoma. TRA kama ilivyo ada...
68 Reactions
469 Replies
47K Views
Na Thadei Ole Mushi. Someni Ripoti ya CAG, Kuna madudu mengi mno mengine yanatia kinyaa kabisa. Ukurasa wa 70 wa Ripoti hiyo unazungumzia issue ya Kucheleweshwa ujenzi wa kiwanda Cha Pamba kule...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Anaandika Pole Pole katika Ukurasa wake wa Twitter "Hii ni ndege ya Kenya Airways iko pale Uwanja wa Ndege DSM, nimewaza tu kwa mawinchi hayo na namna wataalam wanashughulika na injini ya ndege...
13 Reactions
88 Replies
9K Views
Back
Top Bottom