Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Heshima kwenu wakuu. Leo Rais baada ya kutembelea Meli ya Wagonjwa bandarini, ameamua kuitembelea TPA. Amekuta magari zaidi ya 50 ambayo hayana mwenyewe. Magari hayo yaliletwa pamoja na Magari ya...
69 Reactions
670 Replies
95K Views
Mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika katika Serikali ya Awamu ya Nne, Stephen Wasira amesema Tanzania haijawekeza vya kutosha katika kilimo ili kukifanya kiweze...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Baada ya kifo chake kumezuka makundi makubwa mawili yanayo kinzana. Moja ni wale wanaoamini kuwa alikuwa shujaa wa kipekee na ameifanyia nchi yetu makubwa. Kundi la pili wanamuona kama rais mbovu...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Na Thadei Ole Mushi. Kwa Mara ya Kwanza toka JPM afariki Kiongozi mkubwa wa Upinzani anaenda kuongea. Kwa siku zote hizo wapinzani wamekuwa wakitoa maoni na mawazo binafsi kuhusu mwenendo wa...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Naomba kama kuna mwenye jibu anipatie ii na mimi niweze kuwa huru kumsifu na kumpongeza shujaa wetu huyu na niweze kumtofautisha na wale wengine waliotupa matumaini ya uchumi wa gesi mwaka 2015 na...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
The docs were available for ONLY members. REMOVED, discussion inaweza kuendelea
15 Reactions
194 Replies
19K Views
Tuna lundo la maprofesa nchini Tanzania lakini kwa takribani miaka 54 baada ya uhuru Tanzania hatukuwahi kuona maendeleo yenye tija na yenye kuakisi kazi za maprofesa hawa. kwa kipindi cha miaka...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kauli ya 'kwa nini hamkuhoji alipokuwepo' inadhihirisha udikteta wa mwendazake! Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la ukosoaji hasa kufuatia ripoti ya CAG iliyobainisha ufujaji pesa mkubwa...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Inahuzunisha sana kuona taifa kubwa Africa mashariki linashindwa kusonga mbele kisa ya kukosa watu wenye weledi kuliongoza taifa hili. Kwa majibu wa Pro. Mussa Assad, 60% ya viongozi wetu hawana...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kinondoni ilikusanya ushuru Bilioni 5.9 hawakupeleka benki zikaliwa na wajanja wachache. Wizi wa fedha za Malipo ya Vibarua yasiyostahili Sh. 284,850,00 Halmashauri ya Manispaa ilifanya malipo...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Watanzania tujadili kwa kina kuhusu taarifa zinazosambaa kuhusu Zitto kuchambua ripoti ya CAG kupitia televisheni siku ya leo ambayo Mbowe alipanga kulihutubia Taifa. Je, hii haina maana ya...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Najaribu kutafakari "wizi" uliotokea awamu zote mbili za JK na JPM. Wizi sio mzuri ila kuna wizi wa kusaidiana (tuache unafki hili lipo) Enzi za JK upigaji ulikuwa mwingi, ila wapigaji walikuwa...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Ilikuwa ni siku ya jumamosi tarehe 15 mwaka 2013 maeneo ya huko Moshi ambapo Mheshimiwa mstaafu ndugu Lowassa aliweza kuchangisha kiasi cha shilingi za kitanzania zaidi ya billioni moja kwa ajili...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Lowassa amekana rasmi kuwa yeye hahusiki na mkataba wa Richmond! Nanukuu: "Mwenyekiti utakumbuka kwamba mimi nilishaamua kuvunja mkataba wa Richmond mapema, lakini baada ya kukupigia simu...
15 Reactions
766 Replies
75K Views
Hii ni kwa vijana wenzangu wote ambao ni wasomi bila kujali affiliation zao za kisiasa. Ni wazi kabisa wazee wetu katika taasisi ya siasa wameshindwa kutulea na kutukuza kisiasa ili kuwa na...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Napata wakati mgumu kuyaamini matamshi ya waziri mkuu anaposema bwawa la kuzalisha umeme linaloendelea na ujenzi litakamilika mwakani mwezi wa sita na pesa ipo. Waziri huyuhuyu mwezi uliopita...
10 Reactions
27 Replies
3K Views
Sasa tunasikia hata CCM wana...nya mbovu,kila kitu wanaponda na zaidi wanadai wabunge wale na madiwani wale waliopita uchaguzi mkuu wa 2020 si chaguo lao na yote yanayoanikwa na kuzidi kuanikwa...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
MBUNGE wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono (CCM), amesema licha ya kulishwa sumu na watu asiowajua hatohama Tanzania kama anavyoshauriwa. Mkono, pia amegoma kuzungumzia sakata la IPTL na akaunti ya...
4 Reactions
73 Replies
13K Views
Kitu chochote kisichokuwa na mizizi/msingi imara, kikitikiswa tu kidogo kinayumba au kuanguka kabisa. Maisha ni shule kubwa kuliko ile ya chuo kikuu. Kila tunapoishi kuna nafasi ya kujifunza na...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Ukiisoma kwa umakini ripoti ya CAG miradi ya maendeleo ukurasa wa 98 utagundua kuwa kuna upotoshaji mkubwa kuwa upembuzi yakinifu haukuhuishwa kabisa na hivyo data zinazotumika kutekeleza huu...
7 Reactions
81 Replies
6K Views
Back
Top Bottom