Upinzani ndio unajizika zaidi, umebaki kushadidia masuala ya wanaCCM huku wao wakiwa na matatizo lukuki

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Ule msemo wa kiswahili kuwa nyani haoni kundule unaukweli kwa 100%

Upinzani nchini Tanzania upo hoi kabisa, hatujui hata kama 2025 wataweza kusimamisha wagombea. Maana kiuchumi, kisiasa na kisaikolojia wapo hoi bin taabani.

Sasa wamebaki kuangalia na kukodolea macho ishu wanaCCM kana kwamba zinawasaidia. Mara wanaCcm wamemgeuka hayati JPM mara kuna makundi yatafumuka ndani ya CCM. Hii inawasaidia nini?

Act wazalendo wanachechemea kiduchu afadhali wao. chadema wapo hoi kisiasa, Mwenyekiti yupo Dubai,Makamu wake yupo Belgium na wafuasi na wanachama wapo Kilimanjaro na Dar es Salaam. Kwa mantiki hii hapo kuna chama kweli?
 
Rais Samia ni rais anayetokana na CCM na anatekeleza ilani ya CCM.

UFIPA NA ZITO wamesahau kujenga vyama vyao wako bize kusifia wana CCM.
 
Upinzani walifanyiwa kitu mbaya uchaguzi huu uliopita nchi nzima,
Kilichohujumiwa si vyama ni sisi wananchi tulio wengi
Bunge limebaki bila mvuto kabisa halitazamiki
 
Tulia buku sawa wewe, mama hatabiriki kama unabisha bac kamuulize Mwenyekiti kiti wako wa UVCCM.
 
MATAGA Chuki aliwafunza nani.!?? Maana huzaliwi nayo unajikuta nayo ukubwani
 
Rais Samia ni rais anayetokana na CCM na anatekeleza ilani ya CCM.

UFIPA NA ZITO wamesahau kujenga vyama vyao wako bize kusifia wana CCM.
Kwa hiyo ile lugha ya mitano tena,baada ya hii mitano, ilikuwa ni kumlaghai Jiwe? Maanake mlikuwa mnaimba wimbo kuwa, bila yeye hii nchi hakuna wa kuiongoza!
Sina shaka, hata yeye SSH ataishi kwa tahadhari kubwa sana bila kutilia maanani mapambio yenu ninyi MATAGA!
 
Ukiwa ccm lazima uwe mjinga mjinga sasa huoni rais anaanza kufanya yale wapinzani tuliyasema tangu zamani? Sera ya ccm ilikuwa kufilisi watu kwa kutumia tra
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom